brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,876
- 7,366
Hii Ni aibu kwa TFF na Board ya Ligi mpaka Sasa kwenye ligi kwenye ligi ya Tanzania Kuna vilabu vimebakiza mechi 5 kamaliza ligi huku Simba akibakiza mechi 16. Mpaka Sasa Simba hajacheza na hizi timi round zote mbili
Kagera sugar vs Simba
Simba vs kagera sugar
Mtibwa vs Simba
Simba vs mtibwa
Biashara utd vs Simba
Simba vs biashara utd
Simba vs Coastal unioni
Coastal union vs Simba
Mpaka Sasa ligi imebakiza mwezi na nusu kuisha je Simba watacheza mechi 16 ndani ya Muda huo?
Ikumbukwe ligi hawezi kusogezwa mbele Tena kwasababu timu ya Taifa inaitajika Muda wa maandalizi ya AFCON itakayoanza mwezi June katikati.
Viporo vya Simba Ni vya makusudi kwasababu katika timu zinazocheza ligi ya Mabingwa hakuna ligi imezidi viporo 5 yaani DRC Congo , South Africa, Tunisia na Morocco
Al Ahly pamoja na kupigwa 5 lakini Leo jumatano wanacheza mchezo wa ligi, huku Simba yeye amepumzika akisubiri ijumaa kwenda Congo.
Ligi yetu inakuwa Haina usawa.
Sent using Jamii Forums mobile app