Ligi Kuu ya Vodacom 2013/2014

Ligi Kuu ya Vodacom 2013/2014

Mtanange unaanza mwishoni mwa wiki hii, mabingwa watetezi na washindi wa Ngao ya Jamii, Yanga Afrika wakianzia Dar es Salaam dhidi ya timu iliyopanda daraja, Ashanti United.

Washindi wa pili wa msimu uliopita, Azam FC wao wanaanzia Manungu mkoani Morogoro dhidi ya timu imara ya Mtibwa Sukari. Wageni wengine, Mbeya City kutoka Mbeya wao wataanza katika uwanja wa Sokoine dhidi ya Kagera Sukari huku wenzao Rhino wakianzia nyumbani pia dhidi ya Simba ya Dar es Salaam.


Nakala: watu8, Gang Chomba, mzabzab, ndetichia, platozoom, Baba V, gutierez, Makoye Matale, Katavi, Ulimakafu, Anselm, Mkirua, namanyele, PrN-kazi, Speaker, Zanta, saitama_kein, EMT, Dark City, Saint Ivuga, Mc Tilly Chizenga, Ab-Titchaz, Mwita Maranya...

swadakta here we go..
 
Last edited by a moderator:
Jamani wadau naomba nisaidieni ratiba ya ligi ya uingereza.

Samahani kwa usumbufu.
 
KITOABU toka lini ulikuwa shabiki wa YANGA mkuu.
 
Matokeo ya leo Tarehe 24 Agosti,

Yanga Afrika 5 - 1 Ashanti

Rhino Rangers 2 - 2 Simba

Mtibwa 1 - 1 Azam FC

JKT 0ljoro 0 - 2 Coastal Union

Mbeya City 0 - 0 Kagera Sugar

Ruvu Shooting 3 - 0 Prison

Mgambo JKT 0 - 2 JKT Ruvu
 
SAFI MKUU
NGOJA NIPANGE ITAVYOKUWA LIGI KUU
1.yanga
2.costal
3.azam
4.mtibwa
5.simbaaaàaaàaaaaaaaaaaaaa hoye
 
Back
Top Bottom