Ligi Kuu ya Vodacom 2013/2014

Ligi Kuu ya Vodacom 2013/2014

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,345
Matokeo ya leo Jumamosi 24 Agosti,

Yanga Afrika 5 - 1 Ashanti

Rhino Rangers 2 - 2 Simba

Mtibwa 1 - 1 Azam FC

JKT 0ljoro 0 - 2 Coastal Union

Mbeya City 0 - 0 Kagera Sugar

Ruvu Shooting 3 - 0 Prison

Mgambo JKT 0 - 2 JKT Ruvu​

Msimamo baada ya mechi za leo

msimamosawa.png
 
Attachments

  • vodacom.png
    vodacom.png
    13.2 KB · Views: 240
  • msimamo.png
    msimamo.png
    17.3 KB · Views: 350
  • msimamoleo.png
    msimamoleo.png
    12.7 KB · Views: 113
Ligi ya mwaka huu naisubiri kwa hamu sana...

Sababu kubwa ni imani niliyonayo juu ya timu nyinginezo ukiacha wababe Yanga na Simba...

Timu kama Coastal Union "Wagosi wa Kaya" wamefanya usajili mzuri mno, na historia inaonesha hawa jamaa wakiwa wazuri basi ligi huwa ya ushindani sana...
 
Nasikikia za chini ya kapeti eti Coastal Union msosi wao tambi na urojo. Wataweza kweli hekaheka?!!

Cc: Mphamvu
 
Last edited by a moderator:
mwaka huu yanga ambaye amezoea kununua itakuwa ngumu sana..

Wee Mkuu vipi? Yanga anunue mechi? Kazi ya Yanga ni kuwatandika kuanzia aliye mkubwa kuliko wote (Simba SC) hadi aliye mdogo kabisa kuliko wote (Mbeya City & Rhino Rangers, Ashanti excluded). Hadi sasa sioni timu itakayosalimika mbele ya Yanga; si Azam wala Simba. Kwa mbali naona kuna upinzani pale Mkwakwani kwa Wagosi wa Kaya lakini nao wanacharazika, hivyo bila kupepesa macho wala kutikisa masikio uwezekano wa Yanga kuwa bingwa ni 99%, hiyo 1% naiacha kwa ajili ya unforeseen circumstances.
 
mwaka huu yanga ambaye amezoea kununua itakuwa ngumu sana..

Kamanda kwa jinsi Simba mlivyokuwa na njaa mwaka huu nategemea kuwaona mkishuka daraja. Siunajua kuwa Kabouru ndiye amekuwa akiwasaidia angalau kwa kununua mechi ndipo mnashinda sasa ameshaachia ngazi na anaisupport Ashanti Utd kwahiyo mwaka huu ni mwaka wa mateso kwenu.

Kwa kikosi tulichosajili Yanga sioni timu hata moja ya kutusimamisha. Ninatarajia ushindani kutoka kwa Azam(wateja wetu hawa), Coastal Union na Ruvu Shooting lakini timu nyengine zilizobaki tutazishikisha adabu tu kiroho safi.
 
Wee Mkuu vipi? Yanga anunue mechi? Kazi ya Yanga ni kuwatandika kuanzia aliye mkubwa kuliko wote (Simba SC) hadi aliye mdogo kabisa kuliko wote (Mbeya City & Rhino Rangers, Ashanti excluded). Hadi sasa sioni timu itakayosalimika mbele ya Yanga; si Azam wala Simba. Kwa mbali naona kuna upinzani pale Mkwakwani kwa Wagosi wa Kaya lakini nao wanacharazika, hivyo bila kupepesa macho wala kutikisa masikio uwezekano wa Yanga kuwa bingwa ni 99%, hiyo 1% naiacha kwa ajili ya unforeseen circumstances.

YANGA Mabingwa wa Tanzaniakuanzia waka 2012-2020,naipenda YANGA watoto wa Jangwani,hakuna kukubali mpaka kieleweke,hii ndiyo YANGA!Mbele,Kavumbagu,Tegete,Ngasa,Niyonzima,Msuva,achana na katikati,njoo kwnye Beki bora kabisa Afrika mashariki na kati,ikichagizwa n Canavaro,Yondan!!naipenda YANGA?
 
Klabu yenye timu bora kabisa; Ewe Yanga timu yangu yenye tumaini kuu, nitakulinda nawe unilinde hata kufa!
 
Mtanange unaanza mwishoni mwa wiki hii, mabingwa watetezi na washindi wa Ngao ya Jamii, Yanga Afrika wakianzia Dar es Salaam dhidi ya timu iliyopanda daraja, Ashanti United.

Washindi wa pili wa msimu uliopita, Azam FC wao wanaanzia Manungu mkoani Morogoro dhidi ya timu imara ya Mtibwa Sukari. Wageni wengine, Mbeya City kutoka Mbeya wao wataanza katika uwanja wa Sokoine dhidi ya Kagera Sukari huku wenzao Rhino wakianzia nyumbani pia dhidi ya Simba ya Dar es Salaam.

Nakala: watu8, Gang Chomba, mzabzab, ndetichia, platozoom, Baba V, gutierez, Makoye Matale, Katavi, Ulimakafu, Anselm, Mkirua, namanyele, PrN-kazi, Speaker, Zanta, saitama_kein, EMT, Dark City, Saint Ivuga, Mc Tilly Chizenga, Ab-Titchaz, Mwita Maranya...

Hadi kufikia jumamosi saa moja jioni mnyama mkali wa porini SIMBA SPORTS CLUB aka wekundu wa Tanzania watakuwa pale juu wanaongoza ligi.
 
Last edited by a moderator:
La muhimu tutambuane humu.. Mimi mnyama aka taifa kubwa SimbaSC.
Kama naona Amisi Tambwe anapoongoza ufungaji huku Bertram Mombeki au Mmarekani akifuata kwa karibu sana.
 
Kwa magoli ya garasa mombeki???
Mkuu mimi sio kocha lakini ningekuwa kocha tegemeo langu katika safu ya kiungo na ushambuliaji lingekuwa Christopher Edward, Ramadhani Singano, Zahoro Pazi, William Lucian, Said Ndemla, Rashid Ismail, Abdalah Seseme, Ramadhani Kipalamoto na Jonas Mkude na kuna madogo wengine wawili siwakumbuki majina.
 
Nadhani unamaanisha Ibrahim Twaha aliyetoka Coastal Union...
Mkuu mimi sio kocha lakini ningekuwa kocha tegemeo langu katika safu ya kiungo na ushambuliaji lingekuwa Christopher Edward, Ramadhani Singano, Zahoro Pazi, William Lucian, Said Ndemla, Rashid Ismail, Abdalah Seseme, Ramadhani Kipalamoto na Jonas Mkude na kuna madogo wengine wawili siwakumbuki majina.
 
Klabu yenye timu bora kabisa; Ewe Yanga timu yangu yenye tumaini kuu, nitakulinda nawe unilinde hata kufa!

Well said makoye matale. Hii ndio club kubwa kuliko zote lazima tuilinde nayo itulinde. Wana heri wale wote wanaosupport club hii kubwa Ya Yanga maana siku zao za kuishi zitakuwa maradufu na wataongzewa heri na mafanikio tele duniani na mbinguni. Long Life Young Africans
 
Klabu yenye timu bora kabisa; Ewe Yanga timu yangu yenye tumaini kuu, nitakulinda nawe unilinde hata kufa!

AMINA!AMINA!AMINA!AMINA!Na ili kukuhakikishi kwamba tuko full mziki,hata rais wa TFF ajaye atakuwa YANGA(JAMAL MALINZI),MAKAMU WA RAIS(IMAN MADEGA-MWZNASHERIA),eee mungu walinde,ilinde yanga yangu,yetu,yako,yao,yetu sote,wabishi wasiopenda kufungwa wafungike,watepete ubingwa utangazwe mapema JANGWANI!!Ahsante Mungu kwa sababu umejibu maombi!
 
AMINA!AMINA!AMINA!AMINA!Na
ili kukuhakikishi kwamba tuko full mziki,hata rais wa TFF ajaye atakuwa
YANGA(JAMAL MALINZI),MAKAMU WA RAIS(IMAN MADEGA-MWZNASHERIA),eee mungu
walinde,ilinde yanga yangu,yetu,yako,yao,yetu sote,wabishi wasiopenda
kufungwa wafungike,watepete ubingwa utangazwe mapema JANGWANI!!Ahsante
Mungu kwa sababu umejibu maombi!

Na zile dua MBAYA zote zinazoelekezwa YANGA zirudi katika timu zao.!!
mkuu KITOABU hapo umenipata!!
 
Mmoja ni huyo na kuna
wengine watatu nimeshawakumbuka, Frank Sekule, Marcel Kaheza na Haruna
Chanongo.

mkuu kwa kikosi chako cha madogo, msimu huu hauhitaji kombe nini? naona unataka kugombea nafas ya 4 na kina kagera/mtibwa
 
Back
Top Bottom