Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Dk 85 linarudi hilo!!
Mwenyewe wanazijua tim zao!!Tumeshawanyamazisha kimyaaaaaaa.
Yanga Oyeeeeeeeee
Chelsea Oyeeeeeeeee
leo jukwaa limepoa sana, CHELSEA 2 VS LIVERPOOL 1 F.T
pole, basi tufanye si golikwa timu pungufu hakuna maajabu.
leo jukwaa limepoa sana, CHELSEA 2 VS LIVERPOOL 1 F.T
dada yangu bantu lady na wewe umo dah nafurahi sana kukuona kwenye michezo forum
Nakutafuta sana ujue..........:loco:
pole, basi tufanye si goli
Haya fanya chap chap sanaaaaa!!!!!Hahahahahaaa babuuu unajua kwa kunipata eeeh.
Wamepigwa Bantu lady point 3 hizooooYanga piga hao Mgambo 1-0.
Wamepigwa Bantu lady point 3 hizoooo