Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

FULL TIME: Simba 1-0 Ruvu Shooting.

Hongera sana Phiri kwa kunusurika. Jipange usipewe mechi 2 tena.
 
Na mpira umekwishaaaaa
Simba 1- Ruvu shooting 0.
Pamoja na yote simba mmepelekeshwa sana.
 
Na mpira umekwishaaaaaa! Yeboyebo wamebana hadi wameachia.
 
Leo crashwise atakuja huku kutoa hi hongereni kumnyamazisha bwana bwire..
 
Hongereni sana wadau kwa updates .. Ukiwa na jf hamna haja ya radio,tv wala magazeti
 
Pamoja sana Mkuu.

Nawasubiri Maulidi Kitenge, Katanga pamoja na Masau Bwire sijui watasemaje.

Maana hawa kina Kitenge na mwenzake siku kabla ya mechi wanapenda kusema tumeongea na mwanaukawa na katuhakikishie timu itatoa sare lakini cha ajabu hatujawahi kusikilizishwa sauti ya mwanaukawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…