Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Timu zinaingia uwanjani hapa Nangwanda...
 
Hapa Nangwanda timu ndo zinapasha pasha kwa ari ya kushinda hasa hawa vijana wa Ndanda fc....kila la kheir timu ya kukaya ndanda fc.

Hii timu presha bana!
 
Mpira unaanza hapa Nangwanda Mtwara, kila la kheir ndanda fc....Mtwara kuchele
 
Goooooool, hapana mpira unagonga post hapa Nangwanda, azam chupuchupu
 
goooooool, nangwanda azam wanapakatwa na ndanda fc..ndanda 1-0 azam
 
Poleni wana simba, leo rekodi itavurugwa kidogo kwa kufungwa 2-0 na mtibwa, halafu mtaendelea na sare mechi zijazo.
Leo tunashinda kwa mara ya kwanza
 
Kutoka Mtwara Azam amepigwa kimoja, mfungaji Bwana Massawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…