Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Baada ya simba kufanya yao juzi, sasa hivi upande wa pili ni kichefu chefu tu, anatema kushoto anafukia kulia.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hahahaaa. Nyie Khamsa Khamsa tu hazikuwagusa mkaona ni kawaida ije kuwa ako kamoja.
Utakuwa mtu wa ajabu sana kama mtu atakusimamia kuanzia dakika ya kwanza hadi ya 45 bila kupiga goli, unaomba mapumziko ya dakika 15, anakuruhusu then mnaendelea hadi dakika ya 72 anapata bado (tens medy kagere!), alafu ww unaomba bao la pili!!!!!!???? Utakuwa MTU wa hatari sana! Huchoki?
 
Hahahàaa. Mbona umefananisha vitu viwili tofauti Mkuu.

Hawapo wanaume wa hivyo bana hasa huko Dsm. 🙈
 
Tatizo ni goli moja kutumika kufunga timu(al ahly) na kikosi chake cha ngoma (yanga), how come is fifa a soccer body or what? why leave this to happen?

Unaona sasa mimi nilivyo muungwana wala sikukutania ulivyopigwa kumi?
Wewe kamoja tu jamani unanitoa roho?
Hahaaaaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom