Ligi kuu NBC JKT Vs Mashujaa FC tunachukua pointi tatu

LEO NI MECHI MUHIMU KWETU UGENINI KTK VIWANJA VYA KAMBARAGE LIGI KUU NBC PREMIER JKT TANZANIA FC VS MASHUJAA FC TUNACHUKUA POINTI TATU….

Leo tunacheza mechi Ugenini Ktk Viwanja vya Kambarage tunakwenda kushinda goli 1 bila kila mechi kwetu ni muhimu licha ya kuwa Nyumbani kwa JKT TANZANIA ila tunashinda mechi ya leo.

“Uchungu wa Mwana aujuaye Mzazi” Uchungu wa Mashujaa ni wetu.Dua zetu na sala zetu Mashabiki nguvu yetu Umoja na Ushirikiano ni Silaha ya mafanikio kwetu Mechi ya Ugenini lazima tushinde Afe back Afe kipa point tunachukua Wazee wa kigoma wanasema goli 1 tunashinda.

Hii mechi ni muhimu kwasababu point ni lazima tuzichukue mapema mzungumko wa kwanza inaitajika kuchukua pointi 40 na zaidi iliujihakikishie kutoshuka daraja Ikifikia mzunguko wa pili tukatafute pointi 35 na zaidi kujiweka hatua nzuri Ktk ligi kuu NBC premier league 2023/2024 nilazima kushinda na kupata pointi za kutuweka Salama.

“Watakiona Cha Mtema kuni” kwao SHINYANGA ktk Uwanja wa KAMBARAGE kwao ni kama kwetu tu.

Ukipenda Unafungwa Usipopenda Utafungwa tu pointi Tatu kwetu kwako kwetu tu.

kila Mwana kigoma Uzalendo kwanza Mashujaa fc ndio habari ya Mkoa wa Kigoma.
#MapigonaMwendo


Isha’Allah tunashinda.

Hamasa Mashujaa fc.
View attachment 2770208
Jana mmevunja nazi pale njiapanda inapokatiza reli ya kati Shinyanga kwa kweli lile tukio limenihuzunisha sana.... Mlikuwa na hilo basi lenu AIFOLA
 
Back
Top Bottom