wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,404
Duniani kote biashara ya ndege serikali haijajikita sana imeachia sekta binafsi hapo ndio kuna jawabu! Nyumbani huko hali tofauti!
Pam Am naYaa ni kweli unavyosema. Refer shirika la ndege la PAN Am la Marekani kilicholitokea
Surely enzi hizo mtu kupanda ndege ya hilo shirika ilikuwa ni privilege sanaPam Am na
Gulf
Zilitingisha sana
... mashirika makubwa kama Emirates, Qatar, Oman Air, etc. serikali zina mikono tena mikubwa tu.Duniani kote biashara ya ndege serikali haijajikita sana imeachia sekta binafsi hapo ndio kuna jawabu! Nyumbani huko hali tofauti!
Manunuzi yake tu yalimuweka Prof matatani unategemea kuwepo na faida?Taarifa ya CAG inasemaje? Shirika linapata hasara au faida?
Kama tunapata hasara hizo ndege zingeuzwa tu maana matunzo yake Ni kuongeza hasara..
Kila sehemu muhimu ya ndege ina muda wake (masaa) wa kutumika kabla ya kufanyiwa matengenezo makubwa na kurudia upya wake. Mfano baadhi ya ndege engine ni masaa 4000.Ndege ya biashara inayopiga route za mbali inaweza kukaa sokoni kwa muda gani kabla haijaaribika na kusitishiwa safari?
Je, ndege utumia muda gani kurejesha gharama za manunuzi na kuanza kurealize faida?
Ndege zikikosa safari serious za kibiashara zinaweza kuharibika eneo la maegesho? Eg. Umenunua Ndege ya masafa marefu ikawa inafanya safari za muda mfupi hasa kipindi hiki cha corona.
Kama usafiri wa anga umeathiriwa na Corona, je, Bado yapo Mataifa au mashirika yanaagiza ndege mpya? Kwa Yale mashirika au mataifa ambayo yaliweka oda ya matengenezo kabla ya corona, wanaweza kuomba watengeneza ndege wasitishe utengenezaji hadi soko litakapoimarika?
Najifunza kutoka kwenu shemeji zangu na mawifi wa JF.
SwPam Am na
Gulf
Zilitingisha sana
An aircraft's lifespan is measured not in years but in pressurization cycles. Each time an aircraft is pressurized during flight, its fuselage and wings are stressed. Both are made of large, plate-like parts connected with fasteners and rivets, and over time, cracks develop around the fastener holes due to metal fatigue.Ndege ya biashara inayopiga route za mbali inaweza kukaa sokoni kwa muda gani kabla haijaaribika na kusitishiwa safari?
Je, ndege utumia muda gani kurejesha gharama za manunuzi na kuanza kurealize faida?
Ndege zikikosa safari serious za kibiashara zinaweza kuharibika eneo la maegesho? Eg. Umenunua Ndege ya masafa marefu ikawa inafanya safari za muda mfupi hasa kipindi hiki cha corona.
Kama usafiri wa anga umeathiriwa na Corona, je, Bado yapo Mataifa au mashirika yanaagiza ndege mpya? Kwa Yale mashirika au mataifa ambayo yaliweka oda ya matengenezo kabla ya corona, wanaweza kuomba watengeneza ndege wasitishe utengenezaji hadi soko litakapoimarika?
Najifunza kutoka kwenu shemeji zangu na mawifi wa JF.
Subiri wanakuja wanaomiliki mandege (Uvccm)
Hahahha nimecheka kwa sautiSubiri wanakuja wanaomiliki mandege (Uvccm)
Raisi ajaye atazikodisha na kuziuzila mbaliBiashara ya ndege kwa nchi yetu ni BIASHARA KICHAA
Usicheke mkuu ndo ukweli 😂😂Hahahha nimecheka kwa sauti
Hahahaha. Haya mkuuUsicheke mkuu ndo ukweli 😂😂
Kwa nini baba yenu katumbukiza pesa yenu kwa fujo na anasema kuna faida maradufu?Haya huwa hatuyajui, wengi ni kusifia ndo tunacho jua, ila ukweli Biashara ya Usafari wa ndege ndo biashara ngumu Duniani na Matajiri wengi wa Dunia hawawezi weka pesa zao hapo kamwe
Lifespan ya marcopolo ni miaka 25....ndege inaishi, sio kama basi.
inawezafikisha 30.
Chochote cha beberu hata Basi 30 inagongandege inaishi, sio kama basi.
inawezafikisha 30.
mhhh meli ndio usiseme, hiyo liemba ina zaidi ya kalne moja huko tanganyika kigoma.Lifespan ya marcopolo ni miaka 25....
Nahitaji kujua lifespan ya meli