Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 5,168 Reaction score 8,980 Jan 13, 2025 #1 Wakuu kwanza je hizi bati za kizalendo za kuezekea majumbani zina-expire? na kama jibu ni ndio, Je zina-expire baada ya miaka mingapi?
Wakuu kwanza je hizi bati za kizalendo za kuezekea majumbani zina-expire? na kama jibu ni ndio, Je zina-expire baada ya miaka mingapi?
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,164 Reaction score 22,144 Jan 13, 2025 #2 Braza Kede said: Wakuu kwanza je hizi bati za kizalendo za kuezekea majumbani zina-expire? na kama jibu ni ndio, Je zina-dxpire baada ya miaka mingapi? Click to expand... Hakuna kitu kisicho expire..Bati lina expire haraka au taratibu Sababu. 1..Ubora 2.Mazingira. Hivyo vitu ndo vitaamua Bati lako likae muda gani
Braza Kede said: Wakuu kwanza je hizi bati za kizalendo za kuezekea majumbani zina-expire? na kama jibu ni ndio, Je zina-dxpire baada ya miaka mingapi? Click to expand... Hakuna kitu kisicho expire..Bati lina expire haraka au taratibu Sababu. 1..Ubora 2.Mazingira. Hivyo vitu ndo vitaamua Bati lako likae muda gani