Life is like a Game

Life is like a Game

Dakika nilizosaliwa nazo ni chache sana na wachezaji wa timu pinzani naona wanazidi kupoteza muda
Umejuaje kama umebakiwa na dakika chachee....maana refaree ni mmoja tu
 
Najua fika kuwa mchezo ni dakika 90....ndio maana najua nimebakiza dakika ngapi kati ya hizo 90
 
Naomba hiyo siri asee na mm nijue dakika nilizobakiza
 
Yataka moyo wa paka kuishi kwa kuhesabu dakika zilizobaki kabla ya mchezo kuisha. Ni heri usijue ili uendelee kuitafuta pesa kana kwamba hutakufa, huku ukimwabudu Mungu kana kwamba utakuta dakika ijayo....
 
mm nina moyo wa binadamu ila mgumu kuliko wa paka, pesa hazina mwisho wa kutafuta ila kumtafuta Mungu ndio kuna raha ukijua lini unaondoka....teh teh
 
Ebu kwanza turudi kwenye kiini cha mada, mwenzangu ushafunga goli ngapi mpaka sasa?
 
Hahahah kwahiyo mpaka sasa matokeo ni sare? [emoji23]
 
Ilikuwa sare mwaka juzi ila ss kidogo naona naanza kurudisha magoli [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom