sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,045
uchunguzi umeshamalizika na ushahidi ni video iliyokuwa inarushwa AL JAZEERA 18:59 dakika 10 kabla ya wao kuripoti hospitali imelipuliwaTuwe wavumilivu uchunguzi ufanyike kwanza tension bado kubwa kuhusu hili suala lenye mkanganyiko.we kuwa mpole kwanza
Hamas sio wajinga kama unavyofikilia. Kuna usemi unaosema ukibishana na mjinga nawe unakuwa.....Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".
Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA
18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina misfire angani
18:59 - Hospitali ya Gaza inalipuka
View attachment 2785832
Kwanini Hamas hawataki kuziomba msamaha familia 500 zilizolipuliwa kwa Kombora lao kupata misfire
Mate ya nini wakati wino upo, chanzo cha video ni Al Jazeera channel inayowasapoti Hamas,Hamas sio wajinga kama unavyofikilia. Kuna usemi unaosema ukibishana na mjinga nawe unakuwa.....
Hamas mi wapumbavu yaani bora wangekua wajinga ila ni wapumbavu saanaHamas sio wajinga kama unavyofikilia. Kuna usemi unaosema ukibishana na mjinga nawe unakuwa.....
Rocket za hamas za kutengeneza sido? Wapi uliona roketi za hamas powerful kiasi hicho?Mate ya nini wakati wino upo, chanzo cha video ni Al Jazeera channel inayowasapoti Hamas,
safari ya uongo huwa ni fupi sana, jana Al Jazeera wamepiga sana kelele kudanganya watu ila mwisho wa siku wameumbuka, ushahidi umepatikana humo humo kwenye channel yao.
Wanazopewa na magaida wakubwa(Iran)Rocket za hamas za kutengeneza sido? Wapi uliona roketi za hamas powerful kiasi hicho?
Kwa hiyo wewe ulitaka wafanyaje??Unafikiri wana akili hao basi........walisema alwa akbar huku wanaua watu bila hatia ..........walivyo lipiziwa wanasema pray for Palestine.........alwa akbar asemwi tena..........wamebaki kutia huruma tu kujifanya wanaonewa
Hivi umeona kilichoonyeshwa kwenye video ?Rocket za hamas za kutengeneza sido? Wapi uliona roketi za hamas powerful kiasi hicho?
Una wadharau hamas??? Allah akbar na ni wetu soteRocket za hamas za kutengeneza sido? Wapi uliona roketi za hamas powerful kiasi hicho?
Wakojoe wakalale...........na wewe ukitaka unga fuvu ukapasukie mbali..........si kuna viburi zaidi yako kule........waulize kinachowakutaKwa hiyo wewe ulitaka wafanyaje??