Licha ya Tanzania kutajwa kuwa na Viwanda 28,000 ila hatumo kwenye orodha ya Nchi 10 Za Viwanda Africa. Tumezidiwa na Zambia, Tunisia n.k

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,084
Reaction score
84,978
Hii ndio orodha ya Nchi 10 Zenye viwanda Vingi Afrika.

1.South Africa
2.Egypt
3.Nigeria
4.Morocco
5.Kenya
6.Algeria
7.Ethiopia
8.Ghana
9.Tunisia
10.Zambia.

My Take
Kama Nchi tuna kazi ya kufanya kweli kweli.

Pia soma hapa Pre GE2025 - Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia. Ampongeza kwa kuleta mageuzi makubwa ya uwekezaji
Screenshot_20250612-180627.jpg
Screenshot_20250612-181056.jpg
 
Hii ndio orodha ya Nchi 10 Zenye viwanda Vingi Afrika.

1.South Africa
2.Egypt
3.Nigeria
4.Morocco
5.Kenya
6.Algeria
7.Ethiopia
8.Ghana
9.Tunisia
10.Zambia.

My Take
Kama Nchi tuna kazi ya kufanya kweli kweli.

Pia soma hapa Pre GE2025 - Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia. Ampongeza kwa kuleta mageuzi makubwa ya uwekezaji
View attachment 3377066View attachment 3377067
Zile ni siasa majitaka, truth is ili wanaonekane wanafanya kazi but we all know hivyo viwanda havipo
 
Hii ndio orodha ya Nchi 10 Zenye viwanda Vingi Afrika.

1.South Africa
2.Egypt
3.Nigeria
4.Morocco
5.Kenya
6.Algeria
7.Ethiopia
8.Ghana
9.Tunisia
10.Zambia.

My Take
Kama Nchi tuna kazi ya kufanya kweli kweli.

Pia soma hapa Pre GE2025 - Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia. Ampongeza kwa kuleta mageuzi makubwa ya uwekezaji
View attachment 3377066View attachment 3377067
Ukiwa na Masufuria mawili.ya kupika supu na majiko matatu ya mkaa ni kiwanda
 
Back
Top Bottom