elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Sorry, sijaisikia hii habari. Wanapigwa mnada ili iweje?? Watumwa?? Machangudoa?? Wafanyikazi wa kawaida au inakuwaje boss??Nimesikitishwa na habari ya kuwa Libya kwa sasa kuna minada ya kuuza binadamu ambapo binadamu wanapigwa minada kama ng’ombe.
Yani imeniuma sana nchi iliyokuwa na maendeleo elimu bure, afya bure, makazi bure, umeme bure, ela ya kujikimu bure, usafiri unachangiwa nusu ya pesa na serikali leo hii imekuwa mbaya kuliko maisha pale Sudan ya Kusini.
Nimeona picha za watu wamekonda sana wakiwa wamewekwa mnadani na kuuzwa kama ng’ombe.
leta source tufuatilie na tuhakikiNimesikitishwa na habari ya kuwa Libya kwa sasa kuna minada ya kuuza binadamu ambapo binadamu wanapigwa minada kama ng’ombe.
Yani imeniuma sana nchi iliyokuwa na maendeleo elimu bure, afya bure, makazi bure, umeme bure, ela ya kujikimu bure, usafiri unachangiwa nusu ya pesa na serikali leo hii imekuwa mbaya kuliko maisha pale Sudan ya Kusini.
Nimeona picha za watu wamekonda sana wakiwa wamewekwa mnadani na kuuzwa kama ng’ombe.
Nimesikitishwa na habari ya kuwa Libya kwa sasa kuna minada ya kuuza binadamu ambapo binadamu wanapigwa minada kama ng’ombe.
Yani imeniuma sana nchi iliyokuwa na maendeleo elimu bure, afya bure, makazi bure, umeme bure, ela ya kujikimu bure, usafiri unachangiwa nusu ya pesa na serikali leo hii imekuwa mbaya kuliko maisha pale Sudan ya Kusini.
Nimeona picha za watu wamekonda sana wakiwa wamewekwa mnadani na kuuzwa kama ng’ombe.
Hizo picha umeziona wapi?Nimesikitishwa na habari ya kuwa Libya kwa sasa kuna minada ya kuuza binadamu ambapo binadamu wanapigwa minada kama ng’ombe.
Yani imeniuma sana nchi iliyokuwa na maendeleo elimu bure, afya bure, makazi bure, umeme bure, ela ya kujikimu bure, usafiri unachangiwa nusu ya pesa na serikali leo hii imekuwa mbaya kuliko maisha pale Sudan ya Kusini.
Nimeona picha za watu wamekonda sana wakiwa wamewekwa mnadani na kuuzwa kama ng’ombe.
Mkuu tafuta tu nimeona jana na leo asubuhi nasikilza redio france uhai fm wakatangazaleta source tufuatilie na tuhakiki
watu wanapo taka uhuru zaidi ndo mazara yake.nchi za afrika hata uziweke vipi bado watakuona mbaya,hayo ndio matokeo ya demokrasia ndo afrika wanazo takaNimesikitishwa na habari ya kuwa Libya kwa sasa kuna minada ya kuuza binadamu ambapo binadamu wanapigwa minada kama ng’ombe.
Yani imeniuma sana nchi iliyokuwa na maendeleo elimu bure, afya bure, makazi bure, umeme bure, ela ya kujikimu bure, usafiri unachangiwa nusu ya pesa na serikali leo hii imekuwa mbaya kuliko maisha pale Sudan ya Kusini.
Nimeona picha za watu wamekonda sana wakiwa wamewekwa mnadani na kuuzwa kama ng’ombe.
Hapa mkuu umenena mana walichopanda ndio wanachovuna,kumuua Gaddafi damu yake itawaangamiza wenyewe Kwa uroho wa madaraka na kutumiwa na vizungu uchwara bila fikirawatu wanapo taka uhuru zaidi ndo mazara yake.nchi za afrika hata uziweke vipi bado watakuona mbaya,hayo ndio matokeo ya demokrasia ndo afrika wanazo taka