Libya: Arrests made in deadly consulate attack

Ila tu napendelea kurudi kwenye mada yenyewe. Je huoni hatua zinazochukuliwa sasa dhidi ya wanamigambo (wengiwao wa mwelekeo wa kijihadi) ni dalili zuri za kurudisha kiwangocha amani na usalama nchini Libia?

Watawaua hao wa mwelekeo wa jihadi wote?
Wajihadi hao wanaweza kujificha kwa muda halafu tifu litaibuka upya.
Itazame Iraq, Afghanistan, Yemen, Somalia, Congo utaelewa mziki wa Libya utachezwa kwa miaka kadhaa.

Elewa kuwa Uongozi wa sasa hauungwi mkono na wengi, na uongozi huo umefanya kosa kuwatenga waliokuwa wapenzi na washabiki wa Gaddafi katika siasa za kuongoza nchi na kuleta mshikamano wa kitaifa.
 
safi sana nawaendelee hivyo hivyo maana undava wao umewatokea puani na bado..

My friend the post was posted in English language so why are you show your foolish by use your ,..............................................................
 
Mpendwa unalalamika nini? Jinsi unavyoonyesha huwezi kuandika hata setensi 1 kwa Kiingereza bila makosa.....
 
A man linked to an anti-Islam video that sparked riots across the Muslim world is being held in Los Angeles, California, ahead of a bail hearing.

Link BBC News - Nakoula Basseley Nakoula held for probation violations

The United States is temporarily removing further staff from its embassy in the Libyan capital, the state department has said.
Link BBC News - US temporarily reduces staff at Tripoli embassy

Sawa lakini hakukamtwa kwa kumkashifu mtume (maana hii ni uhuru wa maoni...) bali kwa sababu aliwahi kufika mbele ya mahakama na kupewa amri kutotumia inaneti kwa muda fulani . . . .
 
sawa....niruhusu niazime msemo wako huu: Maumivu yakizidi, muone daktari.

Umewekewa taarifa tu na vyanzo vya habari hizo au taarifa zimesema amekamatwa kwa kukashifu mtume?
 
[FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif]
sawa....niruhusuniazime msemo wako huu:
Maumivuyakizidi, muone daktari.
Umewekewataarifa tu na vyanzo vya habari hizo au taarifa zimesema amekamatwakwa kukashifu mtume?
Taarifaya BBC inayotajwa juu inasema hivi:
"Nakoula... was released from prison in 2011 for bank fraud. He has notbeen detained over the contents of the inflammatory video. ..Afterhis 2010 conviction, he was sentenced to 21 months in prison and,under the terms of his probation, he was banned from using computersor accessing the internet for five years without an officer'spermission".

Hii inalingana na taarifa nyingine nilizoona. Yaani alihukumiwa jela kwa utapeli, aliruhusiwa kuondoka mapema kwa masarti ya kutitumia kompyuta, sasa akaonekana alitumia kompyuta na intaneti ivyo anarudiswa jela kwa miezi inayobaki ya adhabu asilia ya utapeli.

Lakini ayumo ndani kwa video.
 
.....

Habari ya video umeipata wapi? Au nani kasema kuwa amekamatwa kwa sababu ya video?

Ayumo ndani ya (kwa) video? Video ipi hiyo?

Mkuu Kipala nahisi unachanganya mambo!

Kuna uhusiano wowote wa video na huyu aliyekamatwa kwa utapeli?
 
Mpendwa twende polepole.

Huyu mtu Nakoula (mtapeli aliyevunja masharti yake ya kusamehewa sehemu ya muda wake wa jela) ni yeye yule anayehusika katika kutengeneza video ile juu ya Muhammad.
Ilhali wengine walidai achukuliwa hatua sasa alikamatwa lakini si kwa sababu kazi yake kuhusu video ile bali kwa kosa la kale.
 
Kipala

Wengine wepi hao waliodai achukuliwa hatua? Hao wanaosema hayo ni katika thread hii?
Kama sio,ukubali tu mkuu kuwa umechanganya mambos!

Mimi sijaona katika uzi huu wanaosema hivyo unavyosema wewe.

Au Nonda alisema Nakoula (tapeli) amekamatwa kwa kukashifu mtume/ au kwa kuhusiana na filamu?
Sikuelewa umekusudia nini au ulikuwa na lengo gani uliponinukuu na kuweka hiyo kauli.
 
Sikusema mtu hapa JF alidai akamatwe wala sikuingiza jambo hili katika nukuu yako.

Nilirejea madai yaliyosikika duniani kwenye maandamano ya waislamu waliopinga video na pale watu mara nyingi walidai wenye kutoa video waadhibiwe au wachukuliwe hatua.
 
Kipala

Wengine wepi hao waliodai achukuliwa hatua? Hao wanaosema hayo ni katika thread hii?
Kama sio,ukubali tu mkuu kuwa umechanganya mambos!

Mimi sijaona katika uzi huu wanaosema hivyo unavyosema wewe.

Au Nonda alisema Nakoula (tapeli) amekamatwa kwa kukashifu mtume/ au kwa kuhusiana na filamu?
Sikuelewa umekusudia nini au ulikuwa na lengo gani uliponinukuu na kuweka hiyo kauli.

eti ni kweli jina la mgen unatumia pia ??
 
Back
Top Bottom