Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Kwenye klabu bingwa, Libya 1 ni bingwa wa ligi ya Libya na Libya 2 ni anayeshika nafasi ya pili.
Kwa upande wa shirikisho Libya 1 ni anayeshika nafasi ya tatu na Libya 2 ni anayeshika nafasi ya nne.
Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Wakuu shalom. Nawasikiliza wachambuzi wa tv zetu hizi za mtandaoni wanaijadili timu inaitwa Libya 1 kuwa timu mpya na ngeni hivyo Simba ana nafasi ya kusonga mbele. Hivi Kuna hili timu Libya? Nimegoogle sijaipata nisaidieni wakuu.
Championship round imeshaisha mzee, ligi ya Libya ipo katika mfumo kama wa ligi ya Tunisia. Wanawekwa kwenye makundi kisha timu sita za juu zinakutana kwa ajili ya kupata top 4. Hivyo zinachezwa jumla ya mechi 5 na tayari mzunguko wa tano umeshakamilika na bingwa ni Al Nasri, nafasi ya pili ni Al Ahli Benghazi na wa tatu ni Al Ahli Tripoli na wanne ni Al Hilal. Mechi zimetamatika jana tarehe 22.