Libolo FC

pale uwanja wa taifa sio? au ulikua hujui?

vivian ntapunguza kukupenda...ntalia mimi..... hakuna week end mbovu kama hii iliyoisha

1 chama langu simba lilifungwa
2. Mi ni mnazi wa Arsenal wakagongwa na kutolewa fa
3. Mi Mkatoliki pasee znz wakamwondoa padre wetu tena wa poti

Home mbona nimeweka turubai.... njoo utoe pole
 
Hahahaaaaaaaaa
Watu hamna mana.
 
Hahaha...yaan Nyau wa Msimbazi anajipeleka mwenyeweeee!!!! kuna wanadamu haziwatoshi.
 
hili chama inaonesha unalikubali sana bi dada.
Nalog off
 
Yaani kufungwa ndo mwatutusi hivyo....mwosha huoshwa
 
Bado Luanda tena!mtasahau hata kinasa huko!shughuli itakavyokuwa pevu!
 
Kiingeredha niliacha kusoma daratha la tatu...:A S 39:

Una maana hii hii Miwa yenye Shugakeni ?
Kama jibu ndiyo! Hebu nielekeze Sugarcane kwa kingereza wanaitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…