Liberia yaondoa ada vyuo vikuu

Amefanya jambo jema. Manake elimu ya chuo kikuu ni haki ya msingi ya kila binadamu. Na naona anatengeneza njia kwa baadhi ya nchi kuiga ili kuifanya elimu ya juu kuwa universal education.
 
Kanchi kadogo na masikini kanawezaje? Au kana chuo kikuu kamoja?

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…