MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,773
- 71,838
Huu wimbo umenifanya nimkumbuke Enya na staili yake ya mziki dah si mchezo kama una huzuni huu wimbo unaweza kukutoa choziHawa watoto walivuma sana miaka ya 1990's hadi 2000.
Wanaimba sana nyimbo za dini kwa sauti zao bila kutumia msaada wa kompyuta.
Salva me -Huu ni moja wa wimbo wao
CC: zitto junior , Palantir , Te Lavista , Amanizzle
Enya mzee wa Adiemus....Huu wimbo umenifanya nimkumbuke Enya na staili yake ya mziki dah si mchezo kama una huzuni huu wimbo unaweza kukutoa chozi
Hahahahahaha!Walipotelea wapi hawa!?..Kuna wengine hatukuwa deep na dini so walikuwa reference!. Unaambiwa "kuna vitoto vinamjua Mungu kuliko nyie!".
Sijamfuatilia huyo ..... Anaimba style gani hiyoEnya mzee wa Adiemus....
Hivi unamjua khadija Nin wa Burundi ??
Khadija Nin- SamboleraSijamfuatilia huyo ..... Anaimba style gani hiyo
Dah nilikuwa wapi sijamfuatilia huyu...... Nyimbo zake zinagusa sana zakutuliza nafsiKhadija Nin- Sambolera
Khadija Nin- Wale Watu
Miaka ya 90's hii kaka......!
hahaha mkuu umri nao unachangia hakuna U-deep wowote ule....!Dah nilikuwa wapi sijamfuatilia huyu...... Nyimbo zake zinagusa sana zakutuliza nafsi
Uko deep sana mkuu
Hahahahaha mhenga .... Ila all time best classic yangu ni Africa by TOTOhahaha mkuu umri nao unachangia hakuna U-deep wowote ule....!