Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
Ndio nini hii mkuu? Ntaandika wapi na kiaje
hapa kwa wa HKL,HGK, HGL NA wale wa MM Kazi ipo
Tupite Tu kaka. Mie naona nyota nyota
hv iyo IC 555, ntaipataje maana mim naitaka nitumie kuundia push button switch
Mkuu, na hizo za wachina zinapatikana kwa bei gani? je zina-limit ya idadi ya maneno?
Za wachina zinatengenezwa uniform kwa ajili ya world wide market!Kama utataka uandikiwe jina lako itakulazimu utoe order;Kama unaelewa electronics kidogo unaweza ukaitengeneza hiyo hapo juu,Mfano ukaandika "I will alwayz love you Sikujua"....umeona!?
na hizo LED
ni unaunganisha in series,
Kwa nini liwe jina la 'umpendaye'? Kwa nini isiwe jina upendalo?[h=2]Liandike jina la umpendae kwa umeme![/h]
Du!mawasiliano nao mimi sina;labda uende kwa Wahindi ma agent wa taa hizi watakusaaidia mpango wako!Nimeona wabongo wengi wamefunga taa kama hizi zinazo display majina ya biashara zao au kampuni zao so inawezekana.All the best!Nimeona mkuu, bado napendelea za wachina. Unaweza kunipa mawasiliano nitoe oda kama ulivyoshauri.
Du!mawasiliano nao mimi sina;labda uende kwa Wahindi ma agent wa taa hizi watakusaaidia mpango wako!Nimeona wabongo wengi wamefunga taa kama hizi zinazo display majina ya biashara zao au kampuni zao so inawezekana.All the best!