LHRC ni Non-Gorvernmental Organization au Anti-Governmental Organization?

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
33,901
Reaction score
20,410
Mwandishi wa makala ,JULIUS MAPUNDA katika makala yake ya leo kwenye gazeti la Tazama Tanzania anaona kitendo cha LHRC kupingana na kila jambo linalofanywa na serikali kutafsiri vibaya maana ya non-governmental organization. Anabainisha kuwa asasi kuwa si ya kiserikali haina maana ya kwamba iko kinyume na serikali , bali ni asasi ambayo inafanya kazi zake nje ya mfumo wa serikali. Pia asasi kuendesha shughuli zake nje ya mfumo wa serikali haina maana ya shuhuli za asasi kuendeshwa nje ya mfumo wa sheria lakini cha kushangaza LHRC imetafsiri vibaya maana ya kuwa non-governmental na imeamua kuwa anti-governental organization.

Binfasi nimefurahishwa sana na Makala hii hasa jinsi amabvyo Mwandishi amemkosoa HELLEN Kijo Bisimba kwa kauli yake alipoulizwa kwa nini kituo chake kinakuwa kimpya wakati badhi ya wanasiasa wanapotoa kauli zenye utata kama zile za kudai nchi NCHI HAITATATWALIKA na kukimbilia kumshataki Waziri Mkuu kwa kauli ya wapigeni. Katika majibu yake Bisimba alisema "Kituo chake hakimshtaki kila kiongozi wa siasa anapotoa kauli zenye mwelekeo wa kuhatarisha amani ya nchi". Mwandishi katika makala yake yake hii ameuliza kama LHRC inatetea haki za watanzania au inaendesha harakati za kisiasa.

Fuatilia makala hii, walau ujifunze kitu dhidi ya hawa hawa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu.
 
MKUU, LHRC NI TAASISI ambayo imeanzishwa kwa lengo la kuhakikisha kuwa ccm inaondoka madarakani. hilo wanafanya kwa kushirikiana ya CHADEMA. Hilo lipo wazi kabisaa na hata watoto wadogo wanalijua
 
ni yale tu yenye maslahi kwa chadema ndo taasisi hii wanayaweka kipaumbele. ila mambo mengine kama sakata la sheikh ponda, sakata la kuchinja na matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu kama haki ya kuwa na mke hilo wanakaa kimya. hatujawasikia wakitoa tamko kwa kitendo cha dr slaa kupora mke wa mtu. hatujasikia wakitoa tamko pia wakati mbowe aliposababisha mimba isiyotarajiwa
 
Mwandishi wa makala ,JULIUS MAPUNDA katika makala yake ya leo kwenye gazeti la Tazama Tanzania anaona kitendo cha LHRC kupingana na kila jambo linalofanywa na serikali kutafsiri vibaya maana ya non-governmental organization. Anabainisha kuwa asasi kuwa si ya kiserikali haina maana ya kwamba iko kinyume na serikali , bali ni asasi ambayo inafanya kazi zake nje ya mfumo wa serikali. Pia asasi kuendesha shughuli zake nje ya mfumo wa serikali haina maana ya shuhuli za asasi kuendeshwa nje ya mfumo wa sheria lakini cha kushangaza LHRC imetafsiri vibaya maana ya kuwa non-governmental na imeamua kuwa anti-governental organization.

Binfasi nimefurahishwa sana na Makala hii hasa jinsi amabvyo Mwandishi amemkosoa HELLEN Kijo Bisimba kwa kauli yake alipoulizwa kwa nini kituo chake kinakuwa kimpya wakati badhi ya wanasiasa wanapotoa kauli zenye utata kama zile za kudai nchi NCHI HAITATATWALIKA na kukimbilia kumshataki Waziri Mkuu kwa kauli ya wapigeni. Katika majibu yake Bisimba alisema "Kituo chake hakimshtaki kila kiongozi wa siasa anapotoa kauli zenye mwelekeo wa kuhatarisha amani ya nchi". Mwandishi katika makala yake yake hii ameuliza kama LHRC inatetea haki za watanzania au inaendesha harakati za kisiasa.

Fuatilia makala hii, walau ujifunze kitu dhidi ya hawa hawa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu.

hawa watu ni wapinzani pure...ukitaka kuthibitisha hilo fuatilia hiearchy ya viongozi wa chuo kikuu cha bagamoyo ndio utajua maana ni branch ya LHRC, pia ka ukabila kamo hapo......fuatilieni kama nadanganya...
 
Ngoja utawasikia leo wakipongeza kauli ya Lukuvi bungeni kwamba wakitajwa wauza unga hakuna atakayesalimika. Nadhani hapo utafurahi maana hawatakuwa wanapingana na serekali.
 
mkuu, NGO yoyote duniani ni ya kiharakati kuwasaidia wananchi siyo serikali. Kuwawezesha wananchi kujua haki na wajibu wao, kupinga sheria na sera mbovu na kandamizi na pia kuiabia serikali iziache. Kauli ya kiongozi ni amri kwahiyo inaathiri wananchi moja kwa moja, ikumbukwe kauli ya mtu yeyote nje ya viongozi wakuu wa serikali si amri na haiwezi kutekelezwa kuwadhuru wananchi. Mwandishi wa makala amekuwa blinded na political wishes against reality.
 
alafu hii taasis inataka kutafuta suluhu ya migogoro mbali mbali kisheria... ndio mana hawana jukwaa lingine zaidi ya kisheria... kwa iyo kwa vile haki inapatikana mahakamani kama kauli mbiu ya serikali ilivyo basi sioni tatizo kwa serikali au mtu yoyote yule for that matter kushtakiwa... pili kuna kesi nyingi tu zinafunguliwa na taasisi kama izi labda ungeenda watakupa database ya kesi zao sema wewe ni kwa vile hii unaiskia sana kwenye vyombo vya habari ndio mana unadhan ni serikali tu ndio inafuatiliwa!!
 
Wale ni wajasiriamali tu badala ya kuanzisha kampuni ya biashara wameamua kutoka kwa style ya NGO kumbe ni wafanyabiashara. Hawana tofauti sana na machadema
 
Inatakiwa kikwete azifutilie mbali waasisi wake wakalime huko mana hawana kazi
 
ni yale tu yenye maslahi kwa chadema ndo taasisi hii wanayaweka kipaumbele. ila mambo mengine kama sakata la sheikh ponda, sakata la kuchinja na matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu kama haki ya kuwa na mke hilo wanakaa kimya. hatujawasikia wakitoa tamko kwa kitendo cha dr slaa kupora mke wa mtu. hatujasikia wakitoa tamko pia wakati mbowe aliposababisha mimba isiyotarajiwa
Hata hili la wabunge wa chadema kuishi kihuni bila kuoa au kuolewa wakati ni watu wazima nalo waliktakiwa walipigie kelele lakini wapi. Mtu km mnyika, zitto, halima mdee nk wanapaswa kukemewa mana ni hatari kwa ndoa za watu
 
Na yie MASISIEMU hapa mmekuja kutetea uupuzi wa Waziri wenu
 
Mwandishi wa makala ,JULIUS MAPUNDA katika makala yake ya leo kwenye gazeti la Tazama Tanzania anaona kitendo cha LHRC kupingana na kila jambo linalofanywa na serikali kutafsiri vibaya maana ya non-governmental organization. Anabainisha kuwa asasi kuwa si ya kiserikali haina maana ya kwamba iko kinyume na serikali , bali ni asasi ambayo inafanya kazi zake nje ya mfumo wa serikali. Pia asasi kuendesha shughuli zake nje ya mfumo wa serikali haina maana ya shuhuli za asasi kuendeshwa nje ya mfumo wa sheria lakini cha kushangaza LHRC imetafsiri vibaya maana ya kuwa non-governmental na imeamua kuwa anti-governental organization.

Binfasi nimefurahishwa sana na Makala hii hasa jinsi amabvyo Mwandishi amemkosoa HELLEN Kijo Bisimba kwa kauli yake alipoulizwa kwa nini kituo chake kinakuwa kimpya wakati badhi ya wanasiasa wanapotoa kauli zenye utata kama zile za kudai nchi NCHI HAITATATWALIKA na kukimbilia kumshataki Waziri Mkuu kwa kauli ya wapigeni. Katika majibu yake Bisimba alisema "Kituo chake hakimshtaki kila kiongozi wa siasa anapotoa kauli zenye mwelekeo wa kuhatarisha amani ya nchi". Mwandishi katika makala yake yake hii ameuliza kama LHRC inatetea haki za watanzania au inaendesha harakati za kisiasa.

Fuatilia makala hii, walau ujifunze kitu dhidi ya hawa hawa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu.

Ndivyo NGO au wanaharakati walivyo. Nikuhakikishie tu kuwa hata CHADEMA wakiingia madarakani watawafanyia hivyo hivyo - hawana ndoa ya kudumu na watawala!
 
:majani7: ukichukua kinyesi cha punda na bangi ya iramba .ukavuta .utasikia muziki wenye mashairi sawa na makala ya Mapunda
 
mkuu, NGO yoyote duniani ni ya kiharakati kuwasaidia wananchi siyo serikali. Kuwawezesha wananchi kujua haki na wajibu wao, kupinga sheria na sera mbovu na kandamizi na pia kuiabia serikali iziache. Kauli ya kiongozi ni amri kwahiyo inaathiri wananchi moja kwa moja, ikumbukwe kauli ya mtu yeyote nje ya viongozi wakuu wa serikali si amri na haiwezi kutekelezwa kuwadhuru wananchi. Mwandishi wa makala amekuwa blinded na political wishes against reality.
Kwa hiyo kauli kama NCHI HAITATAWALIKA wanaiunga mkono?
 
:majani7: ukichukua kinyesi cha punda na bangi ya iramba .ukavuta .utasikia muziki wenye mashairi sawa na makala ya Mapunda
Mimi naona huyu mama BISIMBA naye hatakufa kabla hajakanyaga the hague.
 
Mkuu, wala haina haja ya kumpeleka the Hague. huyu ni kumnyima tu ya kusema. kila kitu kitaenda shwari na wale vibaraka wake watabanwa kila kona wasiwe na mambo ya kuongea. tuone kama ndoa yao itadumu
 
Back
Top Bottom