Hizi company za kichina sio mchezo kwenye kutoa simu za bei chee. Samsung wao walishtukia mapema wakaanza kutoa A, M, and J series.Tatizo hawataki kubadilika
KweliHizi company za kichina sio mchezo kwenye kutoa simu za bei chee. Samsung wao walishtukia mapema wakaanza kutoa A, M, and J series...
LG ni kampuni ya kichina!!!!! Na wewe ni ndugu wa mkalimani au!!!Hizi company za kichina sio mchezo kwenye kutoa simu za bei chee. Samsung wao walishtukia mapema wakaanza kutoa A, M, and J series...
Kamaanisha kuwa makampuni ya Kichina (Huawei, Xiaomi n.k) wamechangia kuua soko la makampuni hayo makubwa ya Kikorea na mengineLG ni kampuni ya kichina!!!!! Na wewe ni ndugu wa mkalimani au!!!
Kusema ukweli LG hajawahi kushughulika na soko la masikini, huko India, China, Huku kwetu Africa etc aliachana nako. Soko lake kubwa ni North America, kwao Korea, ulaya na Nchi nyengine zenye income kubwa.Hizi company za kichina sio mchezo kwenye kutoa simu za bei chee. Samsung wao walishtukia mapema wakaanza kutoa A, M, and J series.
LG walichelewa kujitupia kwenye budget devices. Na walivyotoa budgets phones kwa wingi wakawa wanaziuza USA. Sasa USA zimejaa iPhone na Samsung na watu kule wananunua simu kwa mikopo unawapelekea simu ya $150 ya nini? Walitakiwa hzo simu wazilete huku Africa, Singapore na India huko.
Motorola nao wanafata wasipo expand market yao nje ya USA na UK. Nokia naona wameamua kujitupia kwenye budget phones na ndio wanasimama kdgo sshv.
LG naona hata soko walilokua wanaliwinda na K series zao huko north america sshv limetekwa na Motorola. Motorola naona ndio wanauza midrange nyingi North America.Kusema ukweli LG hajawahi kushughulika na soko la masikini, huko India, China, Huku kwetu Africa etc aliachana nako. Soko lake kubwa ni North America, kwao Korea, ulaya na Nchi nyengine zenye income kubwa.
Kwa muono wangu kilichomuua ni kushindwa ku adapt kwenye premium midrange, Sababu Kina Xiaomi na Wachina wengine Hawapo Marekani na hayo masoko ya Bei.
Kama ulivyo sema Samsung A series zimemsaidia sana, A51 ndio simu Ya android iliouza kushinda zote mwaka Jana, na mwaka Juzi A50 ilikuwa ya pili Nyuma ya A10,
LG anatoa simu nzuri lakini uchumi na Bei za flagship kupanda watu wamehama kununua simu za bei.
Pia haijakuwa official ni tetesi tu kwamba Ana shut down, Hao phone arena Wana credibility ndogo sana.
Xiaomi ameshakuwa cleared. Hana madhara sana.LG naona hata soko walilokua wanaliwinda na K series zao huko north america sshv limetekwa na Motorola. Motorola naona ndio wanauza midrange nyingi North America.
Wachina wana disrupt sana masoko, naona Xiaomi wako njiani kupigwa ban kma Huawei.
WakoreaHao LG pia si wachina??
Bonge moja la observation mkuu.Hizi company za kichina sio mchezo kwenye kutoa simu za bei chee. Samsung wao walishtukia mapema wakaanza kutoa A, M, and J series.
LG walichelewa kujitupia kwenye budget devices. Na walivyotoa budgets phones kwa wingi wakawa wanaziuza USA. Sasa USA zimejaa iPhone na Samsung na watu kule wananunua simu kwa mikopo unawapelekea simu ya $150 ya nini? Walitakiwa hzo simu wazilete huku Africa, Singapore na India huko.
Motorola nao wanafata wasipo expand market yao nje ya USA na UK. Nokia naona wameamua kujitupia kwenye budget phones na ndio wanasimama kdgo sshv.