LG na HITACHI LED TV, IPI BORA?

Mgjd

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
532
Reaction score
133
Nimeuliza dukani bei ya LG TV nikaambiwa ni Tsh 650,000 kw inch 32. Lakini Muhindi akanishawishi kununua HITACHI kwa 600,000, baada ya kuniuliza iwapo natumia mwenyewe ama naenda kuuza, nilipomjibu natumia mwenyewe nyumbani, ndipo akanishauri nichukue HITACHI na warranty miaka 2 kama LG. Sikununua tena, sasa kwa yeyote mwenyewe uzoefu na mojawapo ya hizo mbili tafadhali embu nisaidie mawazo. Asanteni.
 
kaka kwa vifaa hivi vya electronic huwezi kulinganisha brandname ulitakiwa uchukue full details za hizo tv then ungefanyiwa comparison, au hata ungejua majina yake watu wange google wakakwambia ipi nzuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…