Nimefanya hivyo mkuu,but still hilo tatizo linaendelea tu.Nikiwasha tv,haichukui hata dakika 1,Ina display,"entering power saving mode shortly,kisha inazima display!

Kuna option fulani ila nimesahau na niko mbali na tv. Inahusiana na mambo ya alarm, automatic power on/off kwa muda fulani. Nahisi ni hapo ukapafanyie marekebisho.