LG G3

LG G3

Mahendeb

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
13
Reaction score
2
WAkuu nina simu yangu ya LG g3 nashangaa nikiwasha inawaka kidogo then inajizima,,shida nini msaada.
 
Toa betry,baada ya dk kama 3,irudishie; tatizo likiendelea:Fanya factory reset
 
WAkuu nina simu yangu ya LG g3 nashangaa nikiwasha inawaka kidogo then inajizima,,shida nini msaada.
Nina LG G2, iko kama hiyo yako nimeinunua mwaka jana 2015 mwezi wa 2 mwezi wa kumi mwaka huohuo ikaanza kustuck baadae kuzima na kujiwasha. Baada ya muda ikagoma kabisa kuwaka, nikapeleka kwa fundi Kariakoo akabahatisha kuiwasha (alisema imepona) akachukua elf 40 yangu ikawaka baada ya siku mbili ikazima nikaelekezwa kwa fundi mmoja Kagera (Dar es salaam) nae akabahatisha kuiwasha akachukua elf sitini yangu, nikaambiwa tena nenda Mliman City kuna fundi mzuri sana nikaenda nikamuachia kwa muda wa mwezi mzima nae hakuweza baadae akaniambia imemshinda nikaenda kuichukua, nashukuru hakunidanganya alinieleza ukweli. Sikuitumia kwa muda wa miezi miwili siku moja najaribu kuiwasha ikawaka vizuri kbs mpaka sasa japokuwa inachukua siku tano mpaka wiki inazima na kuwaka. Ndugu ukipeleka kwa fundi uwe makini wengi hawajui. Pia kuhusu kufanya factory reset, sijui kama hii njia ni sahihi.
 
Santee mkuu,
 
Mmmmh unanipa wasiwasi maana ndo ninayoitumia kwa sasa ila haijawahi kusumbua
 
Back
Top Bottom