Lg g3 colour gold and black

Mrs S

JF-Expert Member
Mar 18, 2017
286
90
Gold imemeguka kidogo kwenye kioo cha kamera ila kamera inapiga kama kawaida vizuri tu na Black hiko njema idara zote

Lg g3
Gb 32
Ram 3gb
Camera ya mbele 2.1 megapixel
Camera ya nyuma 13 megapixel
Screen size 5.5 inche
Rangi ya gold kutokana na shida kido ya kumeguka kioo cha kamera bei 280000/=
Rangi nyeusi iko njema idara zote kwa 350000/= zote ni za line moja na ni
original kabsa Maongezi yapo
20170419_100239.jpg
20170419_100217.jpg
20170419_100255.jpg
20170302_133512.jpg
20170223_113202.jpg
20170302_133504.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom