LG G2 Vs Galaxy Note 3

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo wana JF.

Naomba Mnyumbulisho kwa anayefahamu Ubora na Upigaji kazi(Jembe) kati ya hizi Simu Mbili hapa(LG G2 Vs Samsung Galaxy Note 3)

Kuna jamaa fundi Simu, yeye anaclaim kuwa LG G2 iko makini zaidi ya Galaxy Note3) Mwenye kauzoefu na hizi products Mbili, Nnaomba Mnyumbulisho tafadhali.

Asante.
Nnawakilisha kwenu.
 
leh Njoo Usaidie Huku
 
Last edited by a moderator:
Reactions: leh

Nina LG optimus G E975 ambayo ni step down tu kutoka G2. Nnachoweza sema ni kua hizi sim ni beasts. Samsung devices za nna experience kidogo zina tend to slow down dramatically na zile glitches za 'unexpected error' zipo tu, but this thing iko safi sana, nmeitumia for about 5months na haijawah ni disappoint. Display yake pia ni kitu kingine. Lg wana good displays, kila review ya hizi simu ukiangalia lazima wacomment on the fine display. Katika vitu nlivoona hii simu iko superior ni hivi, performance and display
 
natumia note III na G2 kwa pamoja na mawazo yangu ni hivi...

G2 ni bonge la simu hands down.

kwanza, charge yake inabaki mpaka milele. naenda siku tatu na charge kwa matumizi ya kawaida.

pili ni kama Good Guy alivyosema, simu haiji kufreeze hata siku moja. nimeweka apps kadhaa na haina slow down yeyote.

tatu, mwanga na display ya hii simu ni kitu kingine. hata kueleza siwezi, mpaka utumie mwenyewe speed yake ni balaa. kifupi ni kwamba G2 ni simu nzuri sana.

walichokosea LG ni kuwa haina sehemu ya memory card. hilo tu!!
 
Last edited by a moderator:
G2 ni habari nyengine wandugu. Ninaitumia. Ni balaaa.
 
Tuanze kwa kuCompare Specification zake..



 
Simu ambayo haiwekwi memory card haifai.
 
Tuanze kwa kuCompare Specification zake..




Huwa naanzaga na bei, ikifwatia OS ila generally sijui nina nini na Samsung ninazichukia sana hizi simu.

LG na Nexus nahisi watanishawishi niipende android si hawa Samsung
 
inategemea na matumizi yako ila overall features there is no way lg g2 akamkamata note 3.

1. note 3 ina specs kubwa.
japo sipendelei suala la specs sababu sio innovation nzuri ila wapo wanaopenda specs kubwa zaidi kwao hio ndio raha. note 3 ina ram 3gb, inachukua video za 4k, ina storage kubwa zaidi ( 64gb) inasuport memory card, battery yake unaweza kuitoa.

2. note 3 inatake advantage ya screen kubwa.
kwenye note jamaa wameeka stylus. hii ni kama kalamu inayokuwezesha kufanya mambo mengi na kutake full advantage ya kioo kikubwa.

ina apps zinazopop up kama video player na browser inayopop up hivyo kuweza kufanya mambo mawili kwa mpigo kwenye kioo chako kikubwa.

pia ukiwa na note 3 kuna mode inayokufanya uweze tumia simu kubwa kwa mkono mmmoja tu.

3. samsung exclusive apps.
samsung pia wana apps zao kama svoice stranslate magaZine na nyengine nyingi.

4. lg ana better ui
though natumia samsung ila nakubali kuwa touchwiz ni majanga ina feature nzuri ambazo hazipo kwenye stock ila ipo slow sana hata simu iwe na specs kubwa still inatake time kudraw dialer au kwenda contacts au kufungua system files nyengine.

hitimisho
kama unapata note 3 yenye stock android uepukane na touchwiz basi itakuwa ndio best phone ever. though sijawah isikia ila ipo s4 samsung waliitoa inarun stock android
 
Multitasking ase on lg iko sick. Na ds idea ya Q slider mwake sana unacheck video uku unafanya other tasks easly
 

Attachments

  • 1393699253656.jpg
    65.7 KB · Views: 125
Multitasking ase on lg iko sick. Na ds idea ya Q slider mwake sana unacheck video uku unafanya other tasks easly

yah ipo same na samsung pia una pop up video sema kwa samsung unaweza pop up vingi hapa nipo katika home screen huku naangalia video kwa juu na chini ni browser.

 
 

Attachments

  • 1393702969061.jpg
    62.9 KB · Views: 113
Awesome feature
 

Attachments

  • 1393704150714.jpg
    60.9 KB · Views: 135
  • 1393704165954.jpg
    55.2 KB · Views: 137
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…