Unataka space ya nini,una contacts au content za simu za kujaza 32 GB.....ahaha abasi kama ndio hivo hata hiyo 128 GB unaweza ijaza kama vipi nunua external hard disk itakusaidia,tunaangalia U SMART wa kufanya kazi
kaka kama unait3ndea haki simu yako na huangalii vivideo vya 3g vya 240p badala yake unaangalia video za 1080p full hd basi gb 128 zinajaa fasta tu kaka.
pili simu hizi mpya yani s4 na lg g2 zinasuport open gl hili likafanya isuport emulator ambayo ilikua mda mrefu play store kakini hakuna simu inayoweza kuihandle. namaanisha dolphin emulator.
dolphin emulator inaifanya android kuweza kuplay games za nintendo wii ambazo ni kama za ps3 au xbox 360. average game zake ni gb 4 ukubwa still sihitaji memory kubwa!?