Try htc one
well saidmkuu g2 mwenzie ni note3 au experia z1 s4 bado sana hapo
labda htc one vs s4 , knock on ya lg g2 ni worlds first!!!
View attachment 125104
I Got you.......kujaribu teknolojia sio dhambi,kampeni yangu ya u smart smart naendelea nayo,sasa nina smart phone LG G2 ,now i can control my samsung TV , my smart Radio na vingine by using my phone,quality ya picha zake sijawahi ona camera ya namna hii,video zake ni balaa,sasa kabla sijatouch ilisha jua nataka kufanya nini .....halafu ni slim kuliko S4 yaani najuta kujua hizi teknolojia.....hebu usinichoshe ingia google halafu andika hivi "LG G2 features" au "LG G2 VS Samsung S4"
Mkuu mirindimo umewahi gusa Xperia Z?
AAAa wapi nipeni feature ys S4 iliyoizidi LG G2 , mimi nnazo zote hapa na nimezitumia kwa hiyo huu utamu wa ngoma nimeingia nimecheza naujua
kaka utafananishaje hiyo g2 na s4 wakati g2 yeye anashindana na note 3 na hiyo z1 na s4 ilitoka kabla ya hyo g2. Note3 z1 na G2 ndo zilitoka kwa pamoja
tatizo la s4 ina variety nyingi na version yetu tunayoipata sisi huku africa ni ya snapdragon 600. ila s4 yenye snapdragon 800 ni ya ukweli imeipita htc one na pia iko on par na lg g2.
ukija kwenye storage samsung anafahamika kama king wa memory s4 ina internal hadi 64gb na pia inaingia memory card ya 64gb total 128gb wakati lg g2 mwisho 32gb