[emoji6][emoji6][emoji6]infinix ni mjomba wake na tecno![emoji847][emoji847][emoji847]
Infinix kaanza kuelemika mkuu kama unajua simu itafute simu ya infinix hot 6x hakuna tecno anaeingia maana anatumia CHIPSET ya SNAPDRAGON ya 430 kama sio 425 ile na sio MEDIATEK ila nyingine ndo hivo bado ovyo tu.infinix ni mjomba wake na tecno![emoji847][emoji847][emoji847]
Dukani zinapatikana kwa bei gani mkuu?Infinix kaanza kuelemika mkuu kama unajua simu itafute simu ya infinix hot 6x hakuna tecno anaeingia maana anatumia CHIPSET ya SNAPDRAGON ya 430 kama sio 425 ile na sio MEDIATEK ila nyingine ndo hivo bado ovyo tu.
Sifahamu mkuu ila bei zinazouzwa hapa bongo bora uagize xiaomi huko aliexpress au mtumie huyu jamaa humuDukani zinapatikana kwa bei gani mkuu?