Naomba msaada ndugu zangu simu yangu imeanguka na kuvunjika kioo nahitaji kubadilisha naombeni kama unafahamu alipo wakala wa LG hapa Dar niipeleke maana nimezunguka kariokoo bila mafanikio simu ni LG-F240L