Habari ya weekend.
Nina thamini sana marafiki,nina amini katika marafiki kwakweli. Kama unahitaji rafiki wa kuongea nae au kusaidiana katika mawazo,mambo ya kuhusu maisha,mambo ya kiujuzi(proffesional) na suala lolote unaloweza share na rafiki.
Nina Elimu ya stahada ya kwanza toka IFM ya mwaka 2011. Ninafanya kazi na nina mchumba. Umri wowote na jinsia yeyote karibuni. Oh I'm saved(nimeokoka). Haya kama umevutiwa kwanini usini PM. Siku njema Cheers.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums