Let’s remind ourselves: Some social rules that may help you to look professional

Nimethamini sana ulichokiandika, ukisoma unaona kabisa ni mambo madogo lakini ya msingi sana. Yamevuruga urafiki, mahusiano na hata wengine kupoteza fursa muhimu maishani kwa kutokuzingatia haya mambo.

Kweli kabisa mara nyingi tunakosea kwenye vitu vidogovidogo kama hivi na si kwamba hatuvijui ama ni vipya maskioni mwetu la hasha ni dharau tu,asante kwakuthamini



Cc Kingsmann
 
Namba 3 sidhani kama slay queens watakuelewa

Dia babu Asprin namba 4 inakuhusu,masuala ya kuniuliza naolewa lini mixer kutwa kunitafutia wachumba,mara ooooh unataka wajukuu naomba ife!!!
 


Unforgetable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…