Let's keep the beautiful dark skin God gave us

Hapo sasa...ila nadhani weupe hauna mushkeli maana hakuna cream za kumfanya mtu mweusi!
Kwahiyo weupe tunajikeep naturally.

So you think you're "white" too, huh? Tanning creams, tanning beds etc are all natural?
 
una akili sana mkuu......kwa yoyote mwenye fikra huru atakukubali tu!
 
Hahahaaa ningepasua mkuu tatizo yai langu ni kama la Magufuli!
Kipi bora?Nikae kimya kulinda heshima au kuchekesha jamii?
Wewe ni "white", au light-skinned bantu african negro, na hiyo ni kama hiyo avatar ni picha yako kweli? U ain't white. So stop fooling urself, unless ur so dumb u don't even have a clue what being "white" means.
 
Kuhusu elimu nakataa wapo wadada wengi na wasomi wanajikoboa tena wengine medical personel wanajichubua kama hawajui vile.
 
Wewe ni "white", au light-skinned bantu african negro, na hiyo ni kama hiyo avatar ni picha yako kweli? U ain't white. So stop fooling urself, unless ur so dumb u don't even have a clue what being "white" means.

Lol!Mkuu hujachoka na mimi tu?
Hadi comments zimefutwa lakini bado tu uko na mimi...
Well...mimi ni white,hutaki acha.
 
[emoji14]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…