Let's be real: Zaidi ya Bilioni mbili kwa Semina Elekezi!?

Let's be real: Zaidi ya Bilioni mbili kwa Semina Elekezi!?

Bila uwepo wa katiba ya wananchi sioni mwanga mbele.
 
Huwa nikisikia neno jk nashikwa na hasira yaani jamaa simpendi Mungu anisamehe
 
Bado still hatuwezi sema nchi yetu ni 'tajiri'...

tukubali tu kuwa nchi yetu ni masikini ndo maana matumizi haya yanatukwaza
tungekuwa nchi tajiri tusinge lazimika kubana matumizi....
 
Rais Magufuli anaendelea kutumbua majipu

Hivi hata haya majipu ya semina elekezi nayo yalisubiri Dr. Magufuli kweli? Zile semina za Ngurudoto nakumbuka zilipigiwa kelele sana lakini ilionekana ni kelele za mlango tu, kumbe sasa tunaona tulivyoliwa. Kwa miaka 10 madawati shule za msingi yasingekua hoja ya kuzungumzwa leo. Naamini sasa hata zile taarabu za Bungeni zitapungua, Tumuunge mkono ayatumbue zaidi.
 
yaliyopita si ndwele tunaganga yajayo kwa sababu tukianza kuchokonoa mambo ya nyuma jamani, mgombea wetu mwenye skandali ya Richmond ataswekwa ndani tuanze kulialia hapa. nawaambia sisi tumemsafisha kisiasa na tukauaminisha umma kuwa sasa anafaa kuwa rais wa nchi hii. ngoja aje Magufuli ndio utagundua aliyoyowahi kuyafanya akiwa serikalini.
hii pia inamhusu kampeni meneja wake Sumaye! chini ya mtetezi wao Kingunge.
unadhani kwa nini wamekaa kimya kama maji ya mtungini? ?? kwa sababu wanajua maovu yao, wakisema fyo Magufuli atawalipua wanajua kabisa Magufuli hana breki. he cant spare anybody
# 1 ni mzee wa msoga tena huyo anafaa afungwe jiwe lenye uzito wa ton 1000000
Alafu atupwe nalo baharini

Ovaaaa
 
Huwa nikisikia neno jk nashikwa na hasira yaani jamaa simpendi Mungu anisamehe
Jk alushapewaga report khsu madudu yanayofanyika bandarini na tpa lkn akaitupiliaaa mbali
 
Mwanzo mzuri kwa jpm kudhibit matumiz mabaya ya fedha za serikali japo bajet ya nchi ni ndogo lkn kwa udogo wake huo huo ikitumiwa ipasavyo ama kwa hakika tutafika mbali.
Lkn tukumbuke kinachoiumiza tz kwa kiwango kikubwa sana sio matumiz mabaya ya fedha za serikali bali ni grand corruption. Epa(bilioni133), escrow bil300, radar bil78, richmond bil172 + usd137,000 on daily basis achilia mbali kodi zinazo kwepwa bandarin na sehemu nyingine. Akifanikiwa ktk hili basi tutegemee mema ktk nchi yetu ndani ya muda mfupi.
 
Naamni kuwa hata Ukawa wanaposema kuwa Magu anatekeleza sera yao ya kubomoa mfumo wa ulaji ndani ya CCM wako right.
Kwa kuwa tatizo la nchi hii halikuwa ubovu wa sera za CCM bali viongozi waandamizi ndani ya serikali ya CCM kuiona nchi hii ya TZ kuwa their own property!
Ni kweli mkuu,upinzani hutokea au hupata nguvu kwa mapungufu kwa washika dola..
Hata hivyo this was too much..ni kipi hapo cha kutumia pesa nyingi hivyo?
Kumbi za serikali zipo
Watoa semina ni watumishi wa serikali na wanalipwa mishahara.
Posho za nini hapo wakati watu wapo kazini?
labda chakula na refreshments ambazo hata milioni kumi zinatosha...sasa hizi milioni 2,000 mbona napata kizunguzungu?
 
Huo ni ujambazi uliopitiliza.............
Halafu waTZ huwa tunakuwa na hasira na vibaka wa mitaani wanaoiba visimu vya Tecno vya elfu 50, halafu hao 'majambazi' wanaokwapua bilioni 2 kwa ajili ya semina tu ya wiki 1 tunawakenulia meno na kuwashangilia!
 
yaliyopita si ndwele tunaganga yajayo kwa sababu tukianza kuchokonoa mambo ya nyuma jamani, mgombea wetu mwenye skandali ya Richmond ataswekwa ndani tuanze kulialia hapa. nawaambia sisi tumemsafisha kisiasa na tukauaminisha umma kuwa sasa anafaa kuwa rais wa nchi hii. ngoja aje Magufuli ndio utagundua aliyoyowahi kuyafanya akiwa serikalini.
hii pia inamhusu kampeni meneja wake Sumaye! chini ya mtetezi wao Kingunge.
unadhani kwa nini wamekaa kimya kama maji ya mtungini? ?? kwa sababu wanajua maovu yao, wakisema fyo Magufuli atawalipua wanajua kabisa Magufuli hana breki. he cant spare anybody

Unata kuniambia hujaielewa hoja ilioko mezani?hebu soma tena ili uchangie vizuri
 
hivi bii bilion mbili hajazidisha chumvi kweli?? milion 2000 kwa ajili ya semina ya watu 30.. hii kweli hatari..

ni msos gani wanaula ngurdoto huko na wanalala vyumba vikoje hadi gharama iwe kubwa hivi
 
Ex President Dr Kikwete plse help us, we are confused with what was happening under your administration. Even your own family is confused. Come out and clear the air because Mag has opened our eyes. A president can allow haya madudu to happen or we are just dreaming. Mbunge mmoja alisema katika utawala wako serikali ina macho ya mbao,(Mungu aiweke roho yake peponi) now i can understand. Your eyes were probably closed and you didn't see what was going on.
Our president Dr Magufuli we are with you but not with CCM. We shall continue pray for you that Almighty God may protect you. It is unfortunately CCM is still alive because kwa haya madudu ingelitakiwa iwe imekufa zamani. CCM basi jirekebisheni chini ya utawala wa Magufuli.
 
Mwaka huu tutajua mengi sana. Shs billion 2 kwa ajili ya semina tu. Madawati mangapi hayo?
 
Huo ni ujambazi uliopitiliza.............
Halafu waTZ huwa tunakuwa na hasira na vibaka wa mitaani wanaoiba visimu vya Tecno vya elfu 50, halafu hao 'majambazi' wanaokwapua bilioni 2 kwa ajili ya semina tu ya wiki 1 tunawakenulia meno na kuwashangilia!
Kwani Semina elekezi lazima Ngurdoto? Kuna nini huko?
Kwani ikifanyika kumbi za Ikulu hawataelewa?
Kwani lazima walale Hotelini? Wakilala kwa wake zao na waume zao zi ndio inapendeza?
 
Makatibu wakuu wazee wa bajeti na safari za nje mikutano semina warsha makongamano unategemea nini
Hii inastaajabisha na kusikitisha.

Hawa ni aina ya viongozi ambao miili yao ipo nchini lakini fikra na matendo yao yako katika nchi za Magharibi.

Haya ni majipu!
 
Well spoken bro! Mkwere anastahili kuondolewa kinga ashitakiwe na kuadhibiwa kama Mfalme Haile Sellasie wa Ethiopia enzi hizo; afungiwe kwenye chumba cha giza na unyevunyevu akipewa unga mkavu na mende kama chakula na kitoweo!
Kameumiza sana wananchi! Heko JPM kwa kutufungua macho; lakini kaza kamba; tunakuombea afya njema na salama. Wezi na wabadhirifu watashindwa kwa jina la Yesu.
Kuna masuala mengine hayahitaji hata shule ili kufahamu first priority za kitaifa.

Masuala kama haya yanapowekwa wazi yanachochea hasira na pia yanahuzunisha sana.
 
Back
Top Bottom