kibu simba awamuachiBasi ile ofa ya mil400 tunaituma kwa kibu denis. Aya umefurahi?
๐คธ mama anaupiga mwingibado ana nafasi ya kujifunza na anaweza fanya vizuri. Ni suala la mda tu. kama tulimpa mama sa100 mda mzize ni nani?
kimedicineHii ni kihasibu au kikeshia?
MZIZE aheshimiwe.
Bado anatafuta uzoefu...ametoka kwenye BODABODA hadi kuwa striker wa Young African.
Dogo MZIZE anajua boli sana...Mayele, musonda na mastriker wengi mara nyingi huwa wameputa kwenye vilabu kadhaa tena vikubwa.
Ila...Mwamba Mzize...yeye ameingia Young African moja kwa moja akitokea kijiwe cha Bodaboda.
Mzize anatumia sana akili ispokua golini tu ndio hajawa makiniwote, mzize na kibu sio wachezaji mahiri ila wana bahati. ni wale watu hawatumii akili, wanatumia nguvu. period.
akili inatakiwa kutumika unapokaribia goli au mwenzio akiwa kwenye nafasi umpasie. hiyo ndio akili ya mpira inayoweza kuwa inamiss.Mzize anatumia sana akili ispokua golini tu ndio hajawa makini
Akiona goli kama halioni na asipofunga kama amefunga. Ni Mandonga mdogoAna kifafa akiona goli kama, kibu ๐๐
Aende sasaKama Mzize hamna kitu kwanini team kubwa kama azam inamtaka?
Mchakondoo uchwara.