Haya wanajamvi nimeanzisha ka uzi kama kanavyojieleza hapa ni kwamba unaleta mada ambayo unafikiria /jambo unalotaka kulifanya la kisayansi lenye tija na manufaa kwa jamii .Halafu tunachangia mawazo mwisho wa siku utashuudia mwenyewe.kumbuka sisi wenyewe tunaweza na sisi ndo madesgner