Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,374
- 1,194
atakayepinga hilo ni mwehu, but just jaribuni basi!!!!,malaria ipo na ni ugonjwa wetu wa kiasili lakini mpaka leo hamjaja na solution yetu ya kiasili kuikabili malaria, tizama kipindupindu kimeanzia uingereza kikaua maelfu walivyogundua chanzo chake ni kinyesi hakuna kipindupindu tena uingereza, afrika bado kipo kwa nini?!?Labda ingekuwa busara mkuu kujiuliza hivi kabla ya Wazungu kuja,tulikuwa na magonjwa uliyotaja?Yametoka wapi.I believe it is common sense.Halafu sijui kama unajua the thesis antithesis synthesis scenario.Wazungu ndio mfumo wao.They bring you a problem they pretend to bring a solution,but the solution comes with a myriad of problems,then they bring an antithesis,and the game continues,huku watu wanaugua na kufa.Why we don't wake up is a billion dollar question.Magufuli amesema tutumie dawa zetu za asili hatumuelewi.Dawa za Wazungu zinatumaliza!
mi nafikiri tusikalie kulaumu, tuwe na solution ndio tulaumu, fanyeni tafiti muje na solution ndio na nyie muende wuhan mje na jibu sahihi kirusi hiki kimetokana na nini sio story za kwenye tafiti na majarida ya wenzenu halafu tunakalia tu kuonyeshana ufundi wa kubishana, we need positive results!!!!