Kwanza nikukanushe,I am not afraid of death, ila sitaki kufa kijinga.Nijiingize kichwa kichwa mahali ambapo ni wazi kuna hatari,no way.
Pia nikukanushe kwa usemi wako kwamba mimi najiona I am the smartest guy.I do not believe I am the smartest guy hapana.Tuko uncomprized,independent scientists wengi worldwide, who do not buy the fake narrative of the Covid Disease and Vaccines.Infact there is already a Court indictement by Doctors,other scientists and Lawyers(follow link below),of all those responsible for the Covid con.
Halafu naomba Niseme hivi mkuu,nitakuwa mjinga sana kujiweka kwenye mdomo wa Simba huku nikijua kwamba atanila,sipashwi kumjaribu Mungu in any way.It is obvious through even common sense,that the so called Covid Disease is fake.Kwa hiyo to me kuchomwa the Covid killer shot ni kumjaribu Mungu,and I am not prepared to do that at any cost.Na je,hatupaswi kumwamini Mungu kwa uponyaji wetu badala yake tunaamini mkono wa Shetani?The Covid shot is an idol.
Mkuu nimefanya Utafiti wa kina sana kuhusu Covid,na bado naendelea.Kila scientific information ninayopata naiweka hapa⬇️,ili kuwa alert watu juu ya ubaya wa the so called Covid Vaccines,which I call killer shots.Wanao-nielewa wananielewa,wasio-nielewa wamekufa na wengine wameathirika vibaya,ninao hata ndugu zangu wa karibu sana.Nimehakikisha kwa kutumia utaalamu wangu,experience ya wataalamu wengine na utafiti wa wataalamu wengine,repeatedly and na nime-hakikisha beyond any reasonable doubt, that the whole mainstream media and Western political narrative about Covid is fake.
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...
www.jamiiforums.com