Alianza kwa Bi Nyakomba akaenda kwa Vivian akamwagwa....
Na mtei walikumbana na SS Dah mtoto Smile akaamua kufall in love kwa SS na Mtei chaliiii
Hahahahaaaa Eliza wa T haijaaminika kama walimwaga Bishanga au Bishanga alimpiga chini ila Eliza mwenyewe anasema alimwaga Bishanga labda waje wao watutibitishie
Hhahaaaaaaahalafu hii LET it GO kwa Mtei inahitajika sana hata tukikutana kwenye Si-hasa yeye anaanzia kwenye kuibiwa mchumba ilhali hajaibiwa ni mipango na upendo tu!!
Teh teh aruuuuuuwe we we angalia isije kuwa ile habari kama ya fulani "....inhi inhi inhi.....kwi kwi kiw.... hakuwahi kuniacha ila tulikuwa tunananihii kwa siri inhi inhi.... nitammisi sana"
My Nelasi has gone, once and forever...
She's six feet under, DEAD AND GONE!
I've let her go...
umbusha mdogo wangu...ilikua ringtone yangu miaka flani ivi...niliipenda kwakweli...
Teh teh aruuuuuu
Im have no one to let go than Satan!let it go
Im have no one to let go than Satan!
Im have no one to let go than Satan!