Let it/them go...


Asante sana...
 

My Nelasi has gone, once and forever...
She's six feet under, DEAD AND GONE!
I've let her go...
 
You are adorable darlin.. Ngoja tuhamie PM tusije chakachua thread ya mtaly.
Dah afadhari tuhame zetu kwanza humu kuna hawa jamaa wanaokaribia kuwa masenior Bachelors wana majungu sana....
Hawakawii kutuibulia kashfa za kutngeneza....
Lol
 
Hivi alimwacha Bi.Nyakomba akaenda kwa Vivia.., au nako kamwagwa ?
Alianza kwa Bi Nyakomba akaenda kwa Vivian akamwagwa....
Na mtei walikumbana na SS Dah mtoto Smile akaamua kufall in love kwa SS na Mtei chaliiii
 
Kumbe na Bagah?? usisahau pia Eliza wa T, na Kongosho kwa Rejao....
Hahahahaaaa Eliza wa T haijaaminika kama walimwaga Bishanga au Bishanga alimpiga chini ila Eliza mwenyewe anasema alimwaga Bishanga labda waje wao watutibitishie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…