Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,962
- 29,339
Ukisubiri muda wa leseni yako kuisha ufike hautapata nyingine zaidi ya miezi miwili au mitatu mbele.Mkuu mbona walalama wakati hata mda wa leseni yako kuisha bado?
Nnachojua wenyewe hawapendi kusumbua wananchi sema kuna sehemu kuna shida hasa kwenye manunuzi ya matirio za hizo leseni, nahisi mkulu kabana sana ela
TRA Samora kaunta namba 8 yupo mdada mmoja.Mbona mimi pele samora nimepata leseni bila usumbufu mwezi huu wa nne ndo leseni yangu imeisha muda wake sasa wewe wapi wamekusumbua
leseni yangu nilipata baada ya miezi mitatu, wanachokifanya ni kutengeneza mainya ya rushwa bila ulazima ,So leseni ikiisha, kuipata nyingine ndo wanasumbua hivyo??
Duh leseni yangu imeisha tarehe 21/04/2019, sijui kama nitawahi kuipata
unatunzaje hicho kikaratasi cha risiti kisichanike au kupotea?Me navyojua leseni ikiisha ukailipia basi ile risiti ya malipo ukiipiga copy unaweza tembea nayo hata miaka bila hiyo leseni yao!. Au wenzetu mnamiliki leseni kama kitambulisho!?..
We walipe baki na risiti yako watapojisikia kukuita ufate card utafata!.
Kikiwa kipya piga copy itatoka clear then kilaminate sababu matumizi yake ni kwenye gari basi kiweke kwenye glove box huna haja ya kutembea nacho, ukipigwa mkono unawatolea watajiongeza wenyewe!..unatunzaje hicho kikaratasi cha risiti kisichanike au kupotea?
Umeongea vyema Sana,Kikiwa kipya piga copy itatoka clear then kilaminate sababu matumizi yake ni kwenye gari basi kiweke kwenye glove box huna haja ya kutembea nacho, ukipigwa mkono unawatolea watajiongeza wenyewe!..
Usisahau laminate na copy ya expired card kuna wale wanoko wataokuomba ya zamani!..
Baada ya hapo fanya mambo yako, siku moja wenyewe TRA watakumiss utaona sms yao!.
Mkuu mpaka leo hii huna ID ya Kupiga kura au ya NIDA?.. Mbona vyote hivi matumizi yake ni aina moja tu!.Umeongea vyema Sana,
Tatizo tunahitaji Kama kitambulisho kwenye issues zingine
Usitake tuvunje sheria, tueleze kifungu cha sheria kinachoruhusu karatasi ya malipo kuwa mbadala wa leseni ili nasi tukitumie.Me navyojua leseni ikiisha ukailipia basi ile risiti ya malipo ukiipiga copy unaweza tembea nayo hata miaka bila hiyo leseni yao!. Au wenzetu mnamiliki leseni kama kitambulisho!?..
We walipe baki na risiti yako watapojisikia kukuita ufate card utafata!.
Huyo kapata kwa njia ya mlungula.Ukisubiri muda wa leseni yako kuisha ufike hautapata nyingine zaidi ya miezi miwili au mitatu mbele.
Usitumie lugha ya kijiweni kwenye jambo usilolijua. Tatizo hili limelalamikiwa kwa miaka sasa bila utatuzi!
Kumbuka kadi iliyokwisha muda kuwa muda mrefu inakufa na ukitaka kuifufua itabidi urudi mafunzoni tena.Umeongea vyema Sana,
Tatizo tunahitaji Kama kitambulisho kwenye issues zingine
Yeah,Kumbuka kadi iliyokwisha muda kuwa muda mrefu inakufa na ukitaka kuifufua itabidi urudi mafunzoni tena.
Amekuwaje huyo mdadaTRA Samora kaunta namba 8 yupo mdada mmoja.
Waliwahi nikamata na hiyo risiti na hawakuelewaMe navyojua leseni ikiisha ukailipia basi ile risiti ya malipo ukiipiga copy unaweza tembea nayo hata miaka bila hiyo leseni yao!. Au wenzetu mnamiliki leseni kama kitambulisho!?..
We walipe baki na risiti yako watapojisikia kukuita ufate card utafata!.