rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,122
- 1,313
- Thread starter
-
- #21
Kino sehem gani
Yaaah nitakuja siku moja nijikumbushie kidogo heyan godan,basaidayo na kata nyingnezo kede kede mkuuYes zinaitwa kihon ni muhimu sn mkuu ukipata muda siku njoo dojo sema muda na mwenyewe ndio issue kdg maana ni saa moja Usk, kata ni muhim kwenye kupanda rank na pia inakusaidia kwenye kutafuta wepesi na kutoa maamuzi ya ghafla kwenye mapambano.
Yaaah nitakuja siku moja nijikumbushie kidogo heyan godan,basaidayo na kata nyingnezo kede kede mkuu
Tena unene ukiiva vizuri unakuwa Ni hatareee balaaa yaan mtu akizungua ukitaka kumkarabati unapiga Kama hutaki vile japo si ruhusa kupigana Mana kisheria Ni kosa na kukiuka Miko ya dogo na miongozi osssYes unene sio tatizo kabisa mkuu jisikie amani ya moyo njoo ufanye training utaona mabadiliko makubwa sana.
Tena unene ukiiva vizuri unakuwa Ni hatareee balaaa yaan mtu akizungua ukitaka kumkarabati unapiga Kama hutaki vile japo si ruhusa kupigana Mana kisheria Ni kosa na kukiuka Miko ya dogo na miongozi osss
Dah mi ngoja nitafute pesa kesho mnilinde
Karibu dojo kwetu upate maarifa zaidi.Sisi tuliocheza shotokhan uswahilini tunapata wapi connection mkuu ya jodo lillipo
Poa poaUkifika kino pale kanisani upande wa shoto kama watokea magomeni kwa mbele kdg kabla ujaifikia ile yard ya magari karibu na kituo cha morocco kuna njia inashuka chini ni barabara ya lami so kule one way karibu na msikiti, ukiwa tyr nicheki pm nitaenda nawe kiongozi usjl kabiaa
Je na karet mnafundishaKaribu dojo kwetu upate maarifa zaidi.