rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,122
- 1,313
Master vip kama Mimi ambaye Nina mchezo wa taekwondo karate selfe defence naweza badilisha combinashion
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Huyo bonge usinambie Ana black belt
Hiyo unacheza Kama kawaida mwamba tena unakuwa fiti zaidMaster vip kama Mimi ambaye Nina mchezo wa taekwondo karate selfe defence naweza badilisha combinashion
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hyo unacheza Kama kawaida mwamba tena unakuwa fiti zaid
Yaaah ila napenda Sana shotokan aiseee balaaaaa now mtoto wangu wa kike ana green belt I wish hata afike black belt Dan 2 hapo ndio napo taka aishieSn zaidi ya sn
Yaaah ila napenda Sana shotokan aiseee balaaaaa now mtoto wangu wa kike ana green belt I wish hata afike black belt Dan 2 hapo ndio napo taka aishie
Vipi mimi ambae nimecheza krav maga, naruhusiwa kujiunga?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
NashukuruKaribu sn mkuu tena itakua vzr zaidi maana tutapata ujuzi huo ninapenda sn huo mchezo.
Shukran one day tutaona hapo Mana mm napenda sana kumite Mana ndio napojua kile nilichojifunza kimenikaa au vipDah hongera sn kiongozi umenifurahisha kuona jinsi gani unapenda martial arts, hapa pia kuna dojo la watoto wadogo View attachment 1472416
Shukran one day tutaona hapo Mana mm napenda sana kumite Mana ndio napojua kile nilichojifunza kimenikaa au vip
Nashukuru
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Yaaah huwa napenda mapigano baada ya kufundishwa Technics mbali mbali za kublock mateke na ngumi na vifu na mapanga huwa sipend Sana kata japo lazima ucheze kata techinc na mapigano katika upandishwa wa rankHaha kumite ndio karate pia unapata challenge mbalimbali na kujua wapi urekebishe
Yaaah huwa napenda mapigano baada ya kufundishwa Technics mbali mbali za kublock mateke na ngumi na vifu na mapanga huwa sipend Sana kata japo lazima ucheze kata techinc na mapigano katika upandishwa wa rank
Mkuu mabonge pia tunaweza kujiunga
Kino sehem ganiYes unene sio tatizo kabisa mkuu jisikie amani ya moyo njoo ufanye training utaona mabadiliko makubwa sana.