Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,449 Reaction score 9,744 Mar 19, 2015 Thread starter #21 Janjaweed said: Messi ni balaa, jana walikua anawapanga city na kuwapunguza kama wamefungwa mawe miguuni mtoto hana adabu yule Click to expand... jana alikuwa katika ubora wake, kila alichofanya kiligeuka dhahabu
Janjaweed said: Messi ni balaa, jana walikua anawapanga city na kuwapunguza kama wamefungwa mawe miguuni mtoto hana adabu yule Click to expand... jana alikuwa katika ubora wake, kila alichofanya kiligeuka dhahabu
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 Mar 19, 2015 #22 first hatrick of messi vs real madrid
I instagramboy JF-Expert Member Joined Oct 16, 2014 Posts 1,521 Reaction score 346 Mar 19, 2015 #23 MUSSOLIN said: Mchezaji hatari zaidi Click to expand... Messiiiiiii
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,449 Reaction score 9,744 Mar 19, 2015 Thread starter #24 instagramboy said: Messiiiiiii Click to expand... messiah la purga
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,098 Reaction score 10,937 Mar 20, 2015 #25 Messi ndiyo huwa ananifanya niangalie mpira wa Ulaya !ViNGINEVYO MIMI NI SIMBA VS YANGA TU NA MCHANGANI HARUFU said: Messi mpira ulimkubali sana ila nyavu zilimkataa, kwa kweli HART amepunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya magoli Click to expand...
Messi ndiyo huwa ananifanya niangalie mpira wa Ulaya !ViNGINEVYO MIMI NI SIMBA VS YANGA TU NA MCHANGANI HARUFU said: Messi mpira ulimkubali sana ila nyavu zilimkataa, kwa kweli HART amepunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya magoli Click to expand...
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Mar 20, 2015 #26 MUSSOLIN said: Gadiola alishindwa kuzuia mahaba yake Click to expand... Mahaba ni maradhi, kwa kweli alisuuzika sana kwa siku ile si vizuri kuwa nae karibu anaweza akakipiga teke kibahati mbaya kwa jinsi mdadi ulivyomkolea. Kuna uvumi kuwa msimu ujao 2015-2016 anarudi tena Camp nou
MUSSOLIN said: Gadiola alishindwa kuzuia mahaba yake Click to expand... Mahaba ni maradhi, kwa kweli alisuuzika sana kwa siku ile si vizuri kuwa nae karibu anaweza akakipiga teke kibahati mbaya kwa jinsi mdadi ulivyomkolea. Kuna uvumi kuwa msimu ujao 2015-2016 anarudi tena Camp nou
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Mar 20, 2015 #27 KYALOSANGI said: Messi ndiyo huwa ananifanya niangalie mpira wa Ulaya !ViNGINEVYO MIMI NI SIMBA VS YANGA TU NA MCHANGANI Click to expand... Nakubali maneno yako. Anateleza kama samaki majini. Ila sijui kwanini akiwa timu yake ya Taifa huwa hafanyi mambo makubwa kama ayafanyayo akiwa na klabu yake
KYALOSANGI said: Messi ndiyo huwa ananifanya niangalie mpira wa Ulaya !ViNGINEVYO MIMI NI SIMBA VS YANGA TU NA MCHANGANI Click to expand... Nakubali maneno yako. Anateleza kama samaki majini. Ila sijui kwanini akiwa timu yake ya Taifa huwa hafanyi mambo makubwa kama ayafanyayo akiwa na klabu yake
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Mar 20, 2015 #28 MO11 said: first hatrick of messi vs real madrid Click to expand... Barca hii ya kina Decco ilikuwa ina vipaji. Gaucho alikuwa na uwezo mkubwa sana na alikuwa anajua kumchezesha Messi
MO11 said: first hatrick of messi vs real madrid Click to expand... Barca hii ya kina Decco ilikuwa ina vipaji. Gaucho alikuwa na uwezo mkubwa sana na alikuwa anajua kumchezesha Messi