Leonel Messi

Jana kampiga tobo ya hatari Milner wa Man City.
 
c James milner tu.. yupo mwingine was man city alipigwa tobo na messi kabla ya milner
 
Nasikia jana Hart alipunguza aibu na kadi za njano zilikuwa za kutosha kwa mancity.... dah messi ni hatariiii
 
wataalam wa mambo wanasema jana Messi alikuws kwenye Aliens mode
 
Messi ni balaa, jana walikua anawapanga city na kuwapunguza kama wamefungwa mawe miguuni

mtoto hana adabu yule
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…