Leonard Mgina: Ndoa si kwa ajili ya kila mtu, baadhi wameumbwa kuishi single

Leonard Mgina: Ndoa si kwa ajili ya kila mtu, baadhi wameumbwa kuishi single

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Mtaalamu wa saikolojia, Leonard Mgina, amesema kuwa ndoa siyo jambo linalofaa kwa kila mtu, akisisitiza kuwa baadhi ya watu wameumbwa kuishi maisha ya upweke (single) kutokana na tabia zao.

Akizungumza katika mahojiano na Nurudigital Mgina ameeleza kuwa kuna watu ambao, kwa asili ya mienendo yao, hawafai kuishi na wengine wala kuwa katika mahusiano ya karibu kama ndoa. amengeza kuwa watu wa aina hiyo wanapaswa kuishi peke yao ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza.

Credit: Nuru Fm Iringa

 
Back
Top Bottom