Leo Zambia wamenifurahisha hivyo ni matuamini yangu makubwa pia ndani ya Wiki moja ijayo Namibia na Guinea nao watanifurahisha

Huyu Mrundi na TFF wanalo lao jambo. Jana asubuhi likisikiliza kipindi cha michezo cha asubuhi cha radio E Fm nilisikia wakisema timu imechezo mechi 10 na mfululizo na kushinda mbili tu ndani ya dakika 90. Hii inakaaje?
 
Huyu mrundi mshenzi sana huyu.
 
Swali lako hili ni la Kipumbavu mno Ndugu unless uniambie kuwa na Wewe pia ni Mpumbavu Mkomavu ndiyo maana umeliuliza Kijuha kabisa hivi.
Huyu anayemjibu huyo anayedaiwa ni mpumbavu yeye mwenyewe anawekwa kundi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…