Leo Zambia wamenifurahisha hivyo ni matuamini yangu makubwa pia ndani ya Wiki moja ijayo Namibia na Guinea nao watanifurahisha

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
15,304
2,000
Hasira yangu kwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars kwa Kuwaacha Wachezaji wangu wazuri na waliokuwa katika Kiwango kikubwa sasa Beki Mohammed Zimbwe Hussein (Simba SC) na Kipa Metacha Boniface Mnata ( Yanga SC ) haitaisha leo wala Kesho na kama kuna Mtanzania aliyeyafurahia haya matokeo ya Kufungwa na Zambia leo basi ni mimi All - Rounder na sijui kwanini Wazambia wametufunga machache.

Kwa mfano leo Kocha hovyo kabisa amechezesha almost Wachezaji wapya tupu (70% ) ambapo wengi Wao hii ndiyo mara yao ya Kwanza Pasipoti zao Kugongwa Mihuri JNIA na hata Kupanda Ndege huku wakiwa Washamba watupu halafu unawaacha Wachezaji wazoefu na wenye exposure wa Simba, Yanga na Azam na kutupangia Wapuuzi watupu sijui akina Mapogolo na Lyanga ambao wameharibu mno.

Hivi mechi kama hii ya leo ilikuwa ni ya Kuwaacha nje Wachezaji kama akina Ndemla, Kaseke, Farid na Muzamiru? Hivi ni kweli mbavu ya Kushoto ya leo Manyama (Namungo FC) ana uwezo au Kiwango cha kumzidi Yasin ( Yanga SC ) ambaye angalau kidogo angeweza kwa leo tu kuwa mbadala mzuri ( japo hajamfikia kabisa ) Beki mwenye Ubarikio kutoka kwa Mwenyezi Mungu wa hiyo namba tatu Mohammed Zimbwe Hussein?

Kuna taarifa tena (exclusive) kabisa kumhusu Kocha wa Taifa Stars anachokifanya ambayo nimepenyezewa na Chanzo changu aminika kabisa ndani ya TFF na Kambi ya Taifa Stars inayopelekea hata Selection zake kuwa na utata mara kwa mara na nilivyo na Jazba nae nasubiri tu tufungwe rasmi na tufurumushwe kabisa Mashindanoni na Nambia pamoja na Guinea kisha nimuanike huyu Mrundi ambaye anadhani Watanzania wote ni Wapuuzi.

Na uzuri tu ni kwamba Wachezaji muhimu walioachwa ni Wawili na leo tena tumefungwa Goli mbili na naomba ziendelee hizi hizi mbili mbili tupu!!
Kwa hiyo hao wawili muhimu wangeanza tusingefungwa???
 
Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,349
2,000
Umeongea kwa hasira sana..anyways yote uliyosema ni kweli kasoro moja tuu.
Hilo la watanzania kuwa wapuuzi ni kweli maana haiwezekani tukaacha kuwapa national timu wazawa ata kwenye mashindano haya ya chan. Hii ilikuwa fursa ya pia kuwatangaza makocha wetu wazawa
Huyu Mrundi na TFF wanalo lao jambo. Jana asubuhi likisikiliza kipindi cha michezo cha asubuhi cha radio E Fm nilisikia wakisema timu imechezo mechi 10 na mfululizo na kushinda mbili tu ndani ya dakika 90. Hii inakaaje?
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
24,038
2,000
Hasira yangu kwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars kwa Kuwaacha Wachezaji wangu wazuri na waliokuwa katika Kiwango kikubwa sasa Beki Mohammed Zimbwe Hussein (Simba SC) na Kipa Metacha Boniface Mnata ( Yanga SC ) haitaisha leo wala Kesho na kama kuna Mtanzania aliyeyafurahia haya matokeo ya Kufungwa na Zambia leo basi ni mimi All - Rounder na sijui kwanini Wazambia wametufunga machache.

Kwa mfano leo Kocha hovyo kabisa amechezesha almost Wachezaji wapya tupu (70% ) ambapo wengi Wao hii ndiyo mara yao ya Kwanza Pasipoti zao Kugongwa Mihuri JNIA na hata Kupanda Ndege huku wakiwa Washamba watupu halafu unawaacha Wachezaji wazoefu na wenye exposure wa Simba, Yanga na Azam na kutupangia Wapuuzi watupu sijui akina Mapogolo na Lyanga ambao wameharibu mno.

Hivi mechi kama hii ya leo ilikuwa ni ya Kuwaacha nje Wachezaji kama akina Ndemla, Kaseke, Farid na Muzamiru? Hivi ni kweli mbavu ya Kushoto ya leo Manyama (Namungo FC) ana uwezo au Kiwango cha kumzidi Yasin ( Yanga SC ) ambaye angalau kidogo angeweza kwa leo tu kuwa mbadala mzuri ( japo hajamfikia kabisa ) Beki mwenye Ubarikio kutoka kwa Mwenyezi Mungu wa hiyo namba tatu Mohammed Zimbwe Hussein?

Kuna taarifa tena (exclusive) kabisa kumhusu Kocha wa Taifa Stars anachokifanya ambayo nimepenyezewa na Chanzo changu aminika kabisa ndani ya TFF na Kambi ya Taifa Stars inayopelekea hata Selection zake kuwa na utata mara kwa mara na nilivyo na Jazba nae nasubiri tu tufungwe rasmi na tufurumushwe kabisa Mashindanoni na Nambia pamoja na Guinea kisha nimuanike huyu Mrundi ambaye anadhani Watanzania wote ni Wapuuzi.

Na uzuri tu ni kwamba Wachezaji muhimu walioachwa ni Wawili na leo tena tumefungwa Goli mbili na naomba ziendelee hizi hizi mbili mbili tupu!!
Huyu mrundi mshenzi sana huyu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom