Leo yamenikuta, sirudii tena

Kwa hiyo tulio jazia juu na kuminywa chini hatuna haki ya kupendwa???

haki hiyo mnayo ila sasa inategemea na mpendaji....alafu muwe mnaweka ful pics bas ili tujue ulivo co pasport kama unasajili necta
 
Yah, revolution... teh teh teh

Lazma mtakua msituni mtahangaika na ukombozi uliokwisha kamilika
 
haki hiyo mnayo ila sasa inategemea na mpendaji....alafu muwe mnaweka ful pics bas ili tujue ulivo co pasport kama unasajili necta

Tumeelewa, ila usitunyanyapae hivyo sio vizuri,umenitisha hadi najiogopa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…